Tatizo gari kusumbua mlimani

Tatizo gari kusumbua mlimani

2699s

Member
Joined
Aug 30, 2017
Posts
32
Reaction score
19
Za jioni naomba kuuliza tatizo la gari inapofika kwenye mlima mshale wa spidi haupandi kuzidi namba 2
Pale ila ikifka tambalale unatembea kawaida
Na matumizi ya mafuta yameongezeka kwa hizi siku mbili baada ya ili tatizo kutokea
Gari ni carina si
Ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unamaanisha kuwa gari lako speed meter yake inasoma kuanzia mbili?[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mie najua kunakuwa na mstari mrefu ambao ndio zero, mdogo ukionesha 10 na namba ya kwanza kuonekana ni 20.
Labda unamaanisha upande wa RPM ambao namba yeyote lazima uzidishe mara 1000 kwa kila dakika. Hii huonesha mzunguko wa engine yako inaendaje kwa kadiri unavyokanyaga mafuta.
Kuhusu kupungua nguvu na kuongezeka kwa matumizi ya mafuta badilisha plugs kwanza halafu uangalie inaendaje.
Gari haina mis ya aina yeyote ile?
 
Plugs nimebadili leo mkuu tatizo tatizo kama limepungua lakin bado naskia kwa mbali hasa mlimani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia kama umebonyeza kitufe cha Over drive. Kiko kwenye gear level. Kama La, angalia aina ya mafuta uliyoweka. Kama La, angalia Hydrolic ya Gear Box pamoja na Engine Oil, kama la, Anglia air cleaner pamoja na Sensor yake, kama la Cheki Plug, kama La, cheki Fuel pump. Tatizo likizidi peleke Service kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rpm ndo nini mkuu mishale ipo yote miwli lkn ule mrefu ndo unaishia hapo ukiwa mliman

Sent using Jamii Forums mobile app
Revolutions Per Minute (RPM). Hupima mzunguko wa engine yako katika crank shaft. Hata ukisoma katika bandiko langu la awali nimegusia hii kitu. Kama bado shida ipo cheki na Air Cleaner sensor, ATF ya Gear Box na pia pump yako ya petroli. Inawezekana ikawa ndio inakuaga
 
Haya ahsante kwa ushauri nitafatilia vizuri vyote hivo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom