Tatizo halikuwa Poulsen bali TFF, mrudisheni

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Ligi yetu inachezeshwa vibaya, ligi yetu Ina wageni wengi mno, timu imejaa wazee, watoto wadogo hawana makocha na TFF inahangaika mno na Simba na Yanga kuliko mpira wenyewe.

Tulimbebesha lawana yule Mnigeria tukamfukuza na sasa tunamlaumu Mzungu tumemfukuza lakini vipigo vikabaki palepale.

Ona ni 4 o'clock
 
Huwezi kufukuza kocha wakati ni mechi za nyumbani na ugenino na hao makocha walichaguliwa wamekubali ili wapate pesa nikimfikiria Meck Maxime aliyetoka povu baada ya kufukuza kagera siamini
 
Kwani kabla ya wageni wengi kuwepo kwenye ligi yetu Taifa star ilishafanya maajabu gani?.Tuache kupeleka lawama kusikohusika.Tatizo ni uwezo mdogo kwa sababu hatuwekezi vyakutosha kwenye michezo.Hao wageni ndio angalau wanangarisha ligi yetu vinginevyo tungekua tunaangalia tu ya wenzetu.tunachotakiwa nikubadilika ili tufikie mafanikio ya wenzetu sio kulalamika.
 
Pointi tupu, boy.
 
Wachezaji wa Kigeni ndio wanaing'arisha ligi yetu....bila kina Chama, Mayele na wenzao...tusingekuwa na ligi hii tuliyonayo..

Wachezaji wa ndani uwezo mdogo, afu wengine wamekalia uchawi..kazi kuwaroga wenzao...hawafanyi juhudi kwenye mazoezi.....

Acha tuendelee kufungwa tu
 
kabisa

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Ligi yetu inachezeshwa vibaya, ligi yetu Ina wageni wengi mno, watoto wadogo hawana makocha na TFF inahangaika mno na Simba na Yanga kuliko mpira wenyewe.
Tulimbebesha lawana yule Mnigeria tukamfukuza nasasa tunamlaumu Mzungu tumemfukuza lakini vipigo vikabaki palepale.
wageni kwa epl hakuna wageni sema tuna michezaji mibovu
 
Ligi yetu inachezeshwa vibaya, ligi yetu Ina wageni wengi mno, watoto wadogo hawana makocha na TFF inahangaika mno na Simba na Yanga kuliko mpira wenyewe.
Tulimbebesha lawana yule Mnigeria tukamfukuza nasasa tunamlaumu Mzungu tumemfukuza lakini vipigo vikabaki palepale.
Sii wajinga walikuwa wanafurahia mmbo ya wachezaji 12 wa kigeni. Inabidi tuanze chini huko haya mambo ya kudanganyana kwamba eti kuwa na wachezaji wengi wakigeni kutawaamsha wazawa ni mawazo ya walevi sio watu wenye taaluma yao.

Hapa ni kuanza upya pelekea makocha wenye kukidhi vigezo mashuleni wafundishe huko tupate wachezaji
 
Kwani kabla ya wageni wengi kuwepo kwenye ligi yetu Taifa star ilishafanya maajabu gani?.Tuache kupeleka lawama kusikohusika.Tatizo ni uwezo mdogo kwa sababu hatuwekezi vyakutosha kwenye michezo.Hao wageni ndio angalau wanangarisha ligi yetu vinginevyo tungekua tunaangalia tu ya wenzetu.tunachotakiwa nikubadilika ili tufikie mafanikio ya wenzetu sio kulalamika.
Hukumsikia juzi rais wa TFF akitamba kuwa wengine walioMtangulia hawana mafanikio kama yeye, akasahau kuwa kipindi Cha wenzake walioMtangulia hapajawahi kuwepo timu ambayo iliachiwa viporo 11 vya ligi, kuwasha moto katikati ya uwanja ugenini na kumulika vitochi usoni wachezaji.
 
Kila leo kozi zinaendeshwa hapo tff lakini baadala ya kutumia hawa makocha wakafundishe mashuleni, tunaacha wasiojua kufundisha huko
 
Watoto wa umiseta na umitashumta walipaswa kuwemo kwenye bajeti za TFF na wizara ya michezo, japo kwa kupelekewa walimu wa mpira. Wachezaji 12 wa kigeni kwenye timu ni upuuzi usiokuwa na kubishana.
 
Kuna tofauti ndogo sana kati ya taifa stars na mandonga
 
Yaani timu inafungwa na Zanzibar, halafu inakuja kuifunga Taifa Stars 4 kwa mtungi!!! Next year tuwape Wazanzibari watuwakilishe Kimataifa.
 
Kocha mzungu yupo vizuri zaidi ya huyu mzawa,! Shida ya makocha wazawa ni uswahili mwingi na uswahiba na wachezaji.
 
Yaani timu inafungwa na Zanzibar, halafu inakuja kuifunga Taifa Stars 4 kwa mtungi!!! Next year tuwape Wazanzibari watuwakilishe Kimataifa.
Makocha wa taifa waende kuangalia ligi ya Zanzibar pia kuchagua wachezaji wa kujumuisha kwenye timu. Ligi ya Huku bara imejaa akina inonga na Mayele. Timu ya Uganda Ina wachezaji wenye umri mdogo wakati Huku tuna vibabu akina bocco, shabalala, Mkude, kapombe, mzamiru kwenye timu. Ona goli la kwanza kasababisha Shabalala, la pili Mkude, la tatu Mzamiru.
 
Wachezaji wa Kigeni ndio wanaing'arisha ligi yetu....bila kina Chama, Mayele na wenzao...tusingekuwa na ligi hii tuliyonayo..

Wachezaji wa ndani uwezo mdogo, afu wengine wamekalia uchawi..kazi kuwaroga wenzao...hawafanyi juhudi kwenye mazoezi.....

Acha tuendelee kufungwa tu
Oneza na TFF kuzipendelea Simba na Yanga, vyombo vya habari kutwa Simba na Yanga, wachambuzi kutwa Simba na Yanga, Mimi mwenyewe Simba na Yanga

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
Watoto wa umiseta na umitashumta walipaswa kuwemo kwenye bajeti za TFF na wizara ya michezo, japo kwa kupelekewa walimu wa mpira. Wachezaji 12 wa kigeni kwenye timu ni upuuzi usiokuwa na kubishana.
Nakubaliana na wewe huko kwenye umiseta ndio tungepeleka makocha wakachague vipaji.
Tatizo lenyewe huko napo ten percent zinatembea ili vijana wachaguliwe kwenda timu za taifa.
 
Makocha wa taifa waende kuangalia ligi ya Zanzibar pia kuchagua wachezaji wa kujumuisha kwenye timu. Ligi ya Huku bara imejaa akina inonga na Mayele. Timu ya Uganda Ina wachezaji wenye umri mdogo wakati Huku tuna vibabu akina bocco, shabalala, Mkude, kapombe, mzamiru kwenye timu. Ona goli la kwanza kasababisha Shabalala, la pili Mkude, la tatu Mzamiru.
Kwanza lilifanyika kosa kubwa sana kumjumisha bocco. Tunaleta usela na kujuana kwenye kazi. Unamuongeza kwa kigezo kipi? Hajacheza mechi za maana ili aitwe kwenye national team.

Yale yale ya bwana kim...u aanza na msuva hana timu unamuacha mpole bench mech ya Algeria na upo nyumbani.

Haya ufaler mwengine kwa ni i sureboy hajaanza hii game ya leo? Yaani wewe una chase game bado unakuwa na two defensive midfielders wa nini.

Jingine tulimpamba mkurungenzi wa ufundi kuw ana leseni A ya uefa, kwa nini hajachukua timu yeye baadala yake tuweka kocha mzambia? Sie akili zetu zipo matakoni
 
Hukumsikia juzi rais wa TFF akitamba kuwa wengine walioMtangulia hawana mafanikio kama yeye, akasahau kuwa kipindi Cha wenzake walioMtangulia hapajawahi kuwepo timu ambayo iliachiwa viporo 11 vya ligi, kuwasha moto katikati ya uwanja ugenini na kumulika vitochi usoni wachezaji.
Mkuu unaupenda mpira ila wenyewe haukupendi.
Hujui kuwa karia ndio rais ambaye anamafanikio angalau? Unahitaji kukumbushwa?
Ligi imepanda hadhi ushamini kabambe.
Stars Afcon
Stars CHAN
Serengeti boys AFCON
Hapo hujagusia Mashindano tuliyohost, mpira wa wanawake, mafanikio ya Vilabu.
Na mengine Mengi.
Kabla hujaleta chuki zako tafakari.
 
Back
Top Bottom