Tatizo halikuwa Poulsen bali TFF, mrudisheni

Tatizo halikuwa Poulsen bali TFF, mrudisheni

Watoto wa umiseta na umitashumta walipaswa kuwemo kwenye bajeti za TFF na wizara ya michezo, japo kwa kupelekewa walimu wa mpira. Wachezaji 12 wa kigeni kwenye timu ni upuuzi usiokuwa na kubishana.
Ulikuwepo wakati ligi
Ina wachezaji wa 3 wa kigeni? Watano ? Saba?
Kumi?
Uliona kuna mafanikio yoyote tulipata?
As taifa au hata Club.
 
JamiiForums1269237728.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Post na coments zimejaa usimba na uyanga.

Ni kutwanga maji kwenye kinu.
 
Yaani timu inafungwa na Zanzibar, halafu inakuja kuifunga Taifa Stars 4 kwa mtungi!!! Next year tuwape Wazanzibari watuwakilishe Kimataifa.
Huwa najiuliza hivi ligi ya Zenj haina hata mchezaji mmoja anayefaa kuchezea Stars?? Ukimuona mzenji timu ya taifa mara nyingi huwa anacheza ligi ya bara!! Kocha acheki na huko anaweza pata wachezaji
 
Unaongelea TFF ya kalialia kalia. Hiyo inapambana na wazungu wa yanga sio strategy za kimataifa. Jpm angekuwepo walikuwa majipu hao

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Post na coments zimejaa usimba na uyanga.

Ni kutwanga maji kwenye kinu.
Kila mtu anaetafuta uongozi TFF sababu yake kuu ni Simba na Yanga. 99% ya muda wa Karia anaiwaza Simba na Yanga namna ya kuzisaidia na kuzikomoa, kulipa kisasi, nk
 
Unapokuwa na kiongozi anaevizia makosa TU ya timu fulani fulani yatokee hawezi kufanikisha malengo ya kitaifa. Yaani miwani yake inaona makosa TU ya timu na watu fulani na mazuri TU ya timu na watu fulani. Anasahau kuwa Kuna Mungu. Hizi ni tabia za Makabila wahamit. Wahamit ni Makabila kama watusi, wamasai, warangi, wasomali, wahabeshi, nk. Mpaka Leo Kagame analipa kisasi kwa wahutu, somalia Koo zinalipiza kisasi hadi kesho, Sudan hivyohivyo, tigrey mambo hayohayo
 
Makocha wa taifa waende kuangalia ligi ya Zanzibar pia kuchagua wachezaji wa kujumuisha kwenye timu. Ligi ya Huku bara imejaa akina inonga na Mayele. Timu ya Uganda Ina wachezaji wenye umri mdogo wakati Huku tuna vibabu akina bocco, shabalala, Mkude, kapombe, mzamiru kwenye timu. Ona goli la kwanza kasababisha Shabalala, la pili Mkude, la tatu Mzamiru.
Haya mambo ya usimba na uyanga ndiyo yanayotucost. Hapo hujamtaja Nyeto kwa lipi?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unaupenda mpira ila wenyewe haukupendi.
Hujui kuwa karia ndio rais ambaye anamafanikio angalau? Unahitaji kukumbushwa?
Ligi imepanda hadhi ushamini kabambe.
Stars Afcon
Stars CHAN
Serengeti boys AFCON
Hapo hujagusia Mashindano tuliyohost, mpira wa wanawake, mafanikio ya Vilabu.
Na mengine Mengi.
Kabla hujaleta chuki zako tafakari.
Chuki Binafsi kwa karia huwa zinawafanya wasahau mafanikio ya karia.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Kwani enzi za Malinzi na Tenga tulifika wapi? Au ni chuki Binafsi kwa karia?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Inawezekana mazingira yalikuwa tofauti, lakini Karia aliwabeza wenzake kuwa walifika wapi kwenye mpira? Wakati wa malinzi timu hazikuwa na viporo vingi kwa timu, hakukuwa na kufungiafungia na adhabu holela kutisha watu wasihoji mambo kuhofia kufungiwa, hakukuwa na vitochi usoni Wala aibu ya kuwasha moto viwanjani. Je, hizi sio tofauti?
 
Back
Top Bottom