Pointi tupu, boy.Kwani kabla ya wageni wengi kuwepo kwenye ligi yetu Taifa star ilishafanya maajabu gani?.Tuache kupeleka lawama kusikohusika.Tatizo ni uwezo mdogo kwa sababu hatuwekezi vyakutosha kwenye michezo.Hao wageni ndio angalau wanangarisha ligi yetu vinginevyo tungekua tunaangalia tu ya wenzetu.tunachotakiwa nikubadilika ili tufikie mafanikio ya wenzetu sio kulalamika.
kabisaWachezaji wa Kigeni ndio wanaing'arisha ligi yetu....bila kina Chama, Mayele na wenzao...tusingekuwa na ligi hii tuliyonayo..
Wachezaji wa ndani uwezo mdogo, afu wengine wamekalia uchawi..kazi kuwaroga wenzao...hawafanyi juhudi kwenye mazoezi.....
Acha tuendelee kufungwa tu
wageni kwa epl hakuna wageni sema tuna michezaji mibovuLigi yetu inachezeshwa vibaya, ligi yetu Ina wageni wengi mno, watoto wadogo hawana makocha na TFF inahangaika mno na Simba na Yanga kuliko mpira wenyewe.
Tulimbebesha lawana yule Mnigeria tukamfukuza nasasa tunamlaumu Mzungu tumemfukuza lakini vipigo vikabaki palepale.
Sii wajinga walikuwa wanafurahia mmbo ya wachezaji 12 wa kigeni. Inabidi tuanze chini huko haya mambo ya kudanganyana kwamba eti kuwa na wachezaji wengi wakigeni kutawaamsha wazawa ni mawazo ya walevi sio watu wenye taaluma yao.Ligi yetu inachezeshwa vibaya, ligi yetu Ina wageni wengi mno, watoto wadogo hawana makocha na TFF inahangaika mno na Simba na Yanga kuliko mpira wenyewe.
Tulimbebesha lawana yule Mnigeria tukamfukuza nasasa tunamlaumu Mzungu tumemfukuza lakini vipigo vikabaki palepale.
Hukumsikia juzi rais wa TFF akitamba kuwa wengine walioMtangulia hawana mafanikio kama yeye, akasahau kuwa kipindi Cha wenzake walioMtangulia hapajawahi kuwepo timu ambayo iliachiwa viporo 11 vya ligi, kuwasha moto katikati ya uwanja ugenini na kumulika vitochi usoni wachezaji.Kwani kabla ya wageni wengi kuwepo kwenye ligi yetu Taifa star ilishafanya maajabu gani?.Tuache kupeleka lawama kusikohusika.Tatizo ni uwezo mdogo kwa sababu hatuwekezi vyakutosha kwenye michezo.Hao wageni ndio angalau wanangarisha ligi yetu vinginevyo tungekua tunaangalia tu ya wenzetu.tunachotakiwa nikubadilika ili tufikie mafanikio ya wenzetu sio kulalamika.
Kila leo kozi zinaendeshwa hapo tff lakini baadala ya kutumia hawa makocha wakafundishe mashuleni, tunaacha wasiojua kufundisha hukoKwani kabla ya wageni wengi kuwepo kwenye ligi yetu Taifa star ilishafanya maajabu gani?.Tuache kupeleka lawama kusikohusika.Tatizo ni uwezo mdogo kwa sababu hatuwekezi vyakutosha kwenye michezo.Hao wageni ndio angalau wanangarisha ligi yetu vinginevyo tungekua tunaangalia tu ya wenzetu.tunachotakiwa nikubadilika ili tufikie mafanikio ya wenzetu sio kulalamika.
Makocha wa taifa waende kuangalia ligi ya Zanzibar pia kuchagua wachezaji wa kujumuisha kwenye timu. Ligi ya Huku bara imejaa akina inonga na Mayele. Timu ya Uganda Ina wachezaji wenye umri mdogo wakati Huku tuna vibabu akina bocco, shabalala, Mkude, kapombe, mzamiru kwenye timu. Ona goli la kwanza kasababisha Shabalala, la pili Mkude, la tatu Mzamiru.Yaani timu inafungwa na Zanzibar, halafu inakuja kuifunga Taifa Stars 4 kwa mtungi!!! Next year tuwape Wazanzibari watuwakilishe Kimataifa.
Oneza na TFF kuzipendelea Simba na Yanga, vyombo vya habari kutwa Simba na Yanga, wachambuzi kutwa Simba na Yanga, Mimi mwenyewe Simba na YangaWachezaji wa Kigeni ndio wanaing'arisha ligi yetu....bila kina Chama, Mayele na wenzao...tusingekuwa na ligi hii tuliyonayo..
Wachezaji wa ndani uwezo mdogo, afu wengine wamekalia uchawi..kazi kuwaroga wenzao...hawafanyi juhudi kwenye mazoezi.....
Acha tuendelee kufungwa tu
Nakubaliana na wewe huko kwenye umiseta ndio tungepeleka makocha wakachague vipaji.Watoto wa umiseta na umitashumta walipaswa kuwemo kwenye bajeti za TFF na wizara ya michezo, japo kwa kupelekewa walimu wa mpira. Wachezaji 12 wa kigeni kwenye timu ni upuuzi usiokuwa na kubishana.
Kwanza lilifanyika kosa kubwa sana kumjumisha bocco. Tunaleta usela na kujuana kwenye kazi. Unamuongeza kwa kigezo kipi? Hajacheza mechi za maana ili aitwe kwenye national team.Makocha wa taifa waende kuangalia ligi ya Zanzibar pia kuchagua wachezaji wa kujumuisha kwenye timu. Ligi ya Huku bara imejaa akina inonga na Mayele. Timu ya Uganda Ina wachezaji wenye umri mdogo wakati Huku tuna vibabu akina bocco, shabalala, Mkude, kapombe, mzamiru kwenye timu. Ona goli la kwanza kasababisha Shabalala, la pili Mkude, la tatu Mzamiru.
Mkuu unaupenda mpira ila wenyewe haukupendi.Hukumsikia juzi rais wa TFF akitamba kuwa wengine walioMtangulia hawana mafanikio kama yeye, akasahau kuwa kipindi Cha wenzake walioMtangulia hapajawahi kuwepo timu ambayo iliachiwa viporo 11 vya ligi, kuwasha moto katikati ya uwanja ugenini na kumulika vitochi usoni wachezaji.