Tatizo hamtaki kukubali ukweli, Tanzania hakuna upinzani ni njaa tu zinatusumbua

Tatizo hamtaki kukubali ukweli, Tanzania hakuna upinzani ni njaa tu zinatusumbua

ngebe

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2020
Posts
1,789
Reaction score
5,117
Hakuna hata mpinzani mmoja anayeweza kukaza na msimamo akipewa mlungula,

Si Ajabu hata huyo mwenyekiti wa Kudumu anakula meza moja na watawala nyie mnahangaika na keyboard

Nani angeamini kama Mdee angekua msaliti?

Nani angeamini kama Waitara angesaliti?

Kipindi cha JPM nadhani mliona wanasiasa wa upinzani walivyokua wananunulika kama bidhaa,

Hakuna mwanasiasa wa upinzani mwenye msimamo ni njaa tu zinasumbua, hata hao wanaoongea saiv ni sababu hawawekewa dau mezani,

Mnafikiri Lema angeashinda ubunge angeugomea?

Sasa hivi ukiona mtu yuko upinzani na hana hela msimpe kula huyi njaa tu ndo zimemuweka huko

Nadhani mlimuona Elia F Maiko wa kakonko yeye alikua mwanachadema kindakindaki na aliaminiwa sana lakini Serikali ya jiwe ilimuhonga utendahi wa kijiji akahamia na CCM,

Siamini leo hii Halima mdee alivyokua anapambana kuibiwa kura Kawe Leo hii ndo kawa msaliti namna hii kisa vipande vya shilingi?


Hakuna upinzani Bongo hata hao akina heche ni vile tu hawajapata Ofa

Huyo Lema sasa hivi kawa Mtabiri wa vifo vya viongozi huku akiwa ughaibuni, mmeahajiuliza kwann alikimbia? kama angekua ni mpinzani halisi kwanini asingekaa hapa tukaendeleza mapambano kama wenzake akina Boby Wine?

Alikimbia nchi kwasababu anamadeni mengi alikopa sana kwenye mabenki akitegemea ubunge, sasaivi harakati anaendeshea twiter

Naomba niishie hapo,

Hakuna chama cha upinzani kitatupa ukombozi labda tuamue wenyewe wananchi


Acheni kujisumbua, tupige kazi wajomba
 
Weka ushahidi mzilankende ww...ana madeni...walinunulika...etc
 
Hayo ni kweli. Uchu wa CCM na wapinzani hauna tofauti. Kelele na harakati zao zote ni za kupigania kula yao.
 
Weka ushahidi mzilankende ww...ana madeni...walinunulika...etc
👇👇👇

IMG_20220516_165812.jpg


IMG_20220516_165815.jpg
 
Tatizo sio njaa bali ubinafsi na hii ndio tatizo kubwa kwa ngozi nyeusi. Mtu amekuwa mbunge kwa miaka 10 au 15 lakini anasaliti. Ubunge wa miaka 10 au 15 unakuondelea njaa kwa kiasi kikubwa lakini mtu anasaliti sababu tu ya tamaa na kujifikiria yeye kama yeye.
 
Umeongea ukweli mtupu ktmbo nilikuwa nawakubali sana CDM baada ya kutambua kuwa lao moja na serikali wala sina mzuka nao bt wananchi wengi hawawaelew hawa wapinzani wetu na wapo tayar kumshambulia mtu anayewaponda.

Sent from my LG-H910 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom