Tatizo hili ni la mke wangu tu au wanawake wote married?

Mimi sijaisoma posts zote lakini naomba samari ya hayo makubaliano ambayo wifi yetu anayavunja mara kwa mara kiasi cha yeye ku'fukuzwa' na mumewe, kushindikana na wazazi wake na kuwachosha hao wasimamizi! Maana kama ni makubwa kiasi cha kuhatarisha muunganiko wao wa kindoa, basi pengine Mtoa mada anayo haki ya kulalamika hapa!

basi soma posts zote utakuta hadi suggestions za
voting,
wanawake wote mko hivyohivyo,
kama kungekua na mtihani mngefeli nk.

MJ1, just take time kusoma itakusaidia

BTW, kulalama ni haki yake kabisa,, ila approach leaves alot to be desired

samahani mkuu hiyo tabia ya kaka yako wakati kwa walio na uelewa wataiona ni ya kawaida Uswahilini watasema kaka yako ni victim wa limbwata. Na wanaume wengi hatupendi kuonekana kwa mtazamo huo,

ryHuyo mkeo sio malaika kama umeweza kumvumilia kwa miaka 12 endelea kumpenda na kumvumilia ...nadhani mambo mengine ni makosa madogo madogo ktk ndoa hawezi kuwa perfect siku zote ..ndo maana ww ukawa mwanamme na yeye mwanamke ..

Pamoja na kwamba sote ni wasomi kwa level ya Masters inanipa shida kumwelewa ni kwa bahati mbaya au ni kwa makusudi anafanya anapoamua kurudia rudia tabia zinazo nikera.

Kuwa au kutokuwa na Masters siyo kipimo cha kuwa au kutokuwa mtaalamu wa mahusiano, kiufupi usitegemee elimu yenu iyaongoze mahusiano yenu.

Ukimwuliza kwa nini umevunja makubaliano huwa mbishi na no apology na kuna uwezekano wa escalation ya ugomvi.

Huyu wife ni mwepesi wa kukiri kosa na kuomba msamaha ila ndo hivyo anarudia tena.

Samahani mkuu, ila haya maelezo yanapingana juu ya mkeo, lipi ni sahihi hasa?

Kinachonishangaza zaidi ni kwamba huyu wife kazini kwake kote alikiofanya kazi anasifiwa kwa kufanya vizuri iwe yuko na bosi mwanamke au mwanaume. Najiuliza kichwa hichohicho kinashindwaje kufanya hivyo hivyo nyumbani kisifiwe na husband?

Pole, je wewe kama mumewe umefanya jitihada zipi kuweza kumrekebisha zaidi ya kuwekeana sheria na taratibu ndani ya ndoa? Badala ya kuweka sheria, je umejaribu kujifunza maelewano baina yenu?

Duh kaka huyu mwanamke anamapenzi sana kwako, na amefundwa vizuri sana. Nakuomba sana usije ukawaza kumwacha bali vumiliana naye na uende naye taratibu huku mkimwomba Mungu. Hayo mengine ni mapungufu madogo sana just try to take easy. Siyo kwamba hana market thats why anakuganda noooo, tena nakuomba sana uache kujidanganya hivyo, yeye anajiheshimu na amefundwa vizuri na anajua kuwa heshima ya mwanamke ni ndoa. Na umshukuru Mungu sana kwa kuwa ni mnyenyekevu na mwepese wa kukiri kosa na kuomba msamaha. Ukali wake ni may be kutokana na approach yako unayomwingilia kumuuliza kwa nini hajafanya kitu fulani.

Inawezekana huwa unamaneno makali ya kumchoma yanayomfanya naye awe mkali kwa muda na kuhisi kuwa unamwonea thats why huwa mgumu kukubali.

Mapenzi ya kweli ni kuvumiliana kwa hali yoyote ile. Au mmesahau viapo vyenu siku ya harusi?

Huyo mke ni asset moja nzuri sana maishani halafu inaonekana siyo mtu wa kuweka vinyongomoyoni.
Vumilia tu kaka najua pia anamambo mengi anayokufurahisha pia so tilia uzito kwenye hayo.

tabia ya mtu ikisha kolea haibadiliki labda utumie nyundo

Huwa unasali wewe? Acha kulalamika, matatizo yako ya ndani mweleze MUNGU alokupa huyo mke, mwombe MUNGU ambadilishe mkeo awe unavyotaka wewe. Hakuna mwanadamu mwenye uwezo wa kumbadilisha mwanadamu mwenzake. Hapa utapata ushauri wa ajabu KAMA HUYO ALOKUAMBIA UTOKE DADA MSAIDIZI.

MUNGU NI MWEZA WA YOTE.

Broda there two things in Marriage. But you can choose one and forego the other. HAPPYNESS and BEING RIGHT. You can choose to be Mr RIGHT (you want things to be the way you think) then make sure you will have to accept that you will never be HAPPY. But if you choose to be HAPPY with your family, make sure you accept that you are not always RIGTH. so it is up to you to choose!

...dahhh, nami umenipatia ukumbusho mzuri sana hapa,
shukran sana shapu.

Kuna mamia ya watz wanaufuatilia huu uzi ama kujifunza/burdani...thread yako na jinsi ulivyohitimisha hapa hakika una mushkeli wewe binafsi...malezi kwanza kusoma baadaye..ndiyoo kama malezi/makuzi yalidunda na elimu haijasaidia kitu tusemeje..jinsi ulivyotunanga(tunajitia ujuaji?) hapa sisi watu baki,hivi inakuwaje kwa huyo mkeo..majibu ya ndio au hapana mbona maswali yake yanajulikana.

Sasa ndugu yangu uone mwanao kaweka kiatu juu ya TV unakiacha eti kisa wewe mwanaume watu wakikuona una arrange nyumba watasema limbwata? Wake up. Kwani ukisaidia kazi home mikono inapata ukoma? Anyway tumelelewa tofauti. Sisi home watoto wa kiume wamefundishwa kazi zote though walikuwa hawapiki tu. Kazi nyingine wanajua kufanya. Kama hutaki kusaidia na kwako hakuna anayefanya basi kubali kukaa kwenye nyumba chafu.

samahani mkuu hiyo tabia ya kaka yako wakati kwa walio na uelewa wataiona ni ya kawaida Uswahilini watasema kaka yako ni victim wa limbwata. Na wanaume wengi hatupendi kuonekana kwa mtazamo huo,

Lakini kwa upande mwingine utakuta na yeye kuna madhaifu yako anayabeba! Hivyo jitahidini tu kuvumiliana!

Mimi ni mwadilifu itakuwa hatari kila mwana nke kunichungulia navuta subira kwanza bana!!!!!!!

sasa si ukae na mkeo myamalize!
unataka nini cha ziada kama umeshasema mwenyewe kuwa ni mwepesi kuomba msamaha!
ndicho hicho 'mabosi' wenzako wanachompendea. Kubali anapokuomba msamaha-usiwe rigid mzee; kwanza umeweza kuvumilia miaka 12, palipo baki mbona padogo tu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…