Kibukuasili
JF-Expert Member
- May 15, 2010
- 1,053
- 615
Huwezi kumbadili mtu tabia, unachoweza ni kumshauri tu, asipobadilika kubali matokeo. Ndio misalaba ya ndoa!
Nakushauri ubadilike wewe kulingana na tabia zake, uzizoee. Otherwise utajisumbua bure.
Masters inamsaidia kazini, nyumbani haifanyi kazi ndo maana kuna wasomi wazuri tu wanazidiwa akili na househelp ambaye hajamaliza darasa la saba