...12yrs of marriage, kwakweli nyie ni ndege mfananao,....na kwa kila mapungufu ya mkeo, nawe yako yanamkera vile vile...ila, kwakuwa mnafanana, si rahisi kwako kuona mapungufu yako.
...acha tu bak, yaani we acha tu...lakini kwa mtazamo wangu, huyu bwana anakabiliwa na mid life crisis ambayo
kama kawaida, 'mnyonge' wake ndiye atayekuwa victim wa kumalizia hasira zake. In this case, mkewe maskini ndiye
anayebebeshwa mizigo ya lawama kwa mapungufu yake mwenyewe mwana kwetu.
...kama walivyo alcoholics, chain smokers, sex addicts na drug addicts, hatoweza kujinusuru na kuangamia kwake ila tu atapojikubalisha yeye ana matatizo/mapungufu pia.
...yeye ndiye dereva wa mawazo yake, na hakuna mwingine anayepaswa kulaumiwa ila yeye mwenyewe. kinyume na hapo, nasikitika sana kumsoma mwenzetu mwana kwetu akielekea kwenye shimo...
mwana kwetu, inaniuma sana,...inaniuma sana bro...
mwana kwetu, badilika kabla hujafikia the point of no return.
mrudie mwenyezi mungu, umemuacha sana mwenyezi mungu,
umepoteza muelekeo, umepoteza njia, nyota na nuru yako inafifia...
moyo na roho yako vinazingirwa na giza,...giza ambalo ni ibada tu itayokuokoa.