Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
naomba kumuuliza mleta hoja: Ulimpendea nini mkeo? na kile ulichompendea bado kipo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naomba kumuuliza mleta hoja: Ulimpendea nini mkeo? na kile ulichompendea bado kipo?

Aisee

Kwenye Miti hakuna Wajenzi...walisema wahenga....
basi soma posts zote utakuta hadi suggestions zaMimi sijaisoma posts zote lakini naomba samari ya hayo makubaliano ambayo wifi yetu anayavunja mara kwa mara kiasi cha yeye ku'fukuzwa' na mumewe, kushindikana na wazazi wake na kuwachosha hao wasimamizi! Maana kama ni makubwa kiasi cha kuhatarisha muunganiko wao wa kindoa, basi pengine Mtoa mada anayo haki ya kulalamika hapa!

Punguza expectations ndoa yako itadumu. Ni ngumu upate career woman afu utegemee afanye kazi 70%

Angekuwa mzinzi ningesema ndoa yako iko mashakani. Lakini hayo mambo madogo madogo jaribu kuya ignore.

Kama unampa maelekezo ukisafiri afu yeye hafanyi labda ni msahaulifu uwe unapiga simu kumkumbusha; na uchukulie positive si kuwa anafanya makusudi ndivyo alivyo.

Nina kakangu very smart; mkewe si smart (though sisemi kuwa ni mchafu). Kaka yangu anafanya most of cleanings and arrangements ndani na ndoa yao ni mfano na si kwamba mke ni bread winner; nope my bro is doing it out of love.

Jipime na wewe pia. Upendo hauesabu. Epuka kusema mimi na keep promise yeye hakeep promise. Hiyo ni sumu. Love is when you give without expecting to receive.
Pamoja na kwamba sote ni wasomi kwa level ya Masters inanipa shida kumwelewa ni kwa bahati mbaya au ni kwa makusudi anafanya anapoamua kurudia rudia tabia zinazo nikera.
Ukimwuliza kwa nini umevunja makubaliano huwa mbishi na no apology na kuna uwezekano wa escalation ya ugomvi.
Huyu wife ni mwepesi wa kukiri kosa na kuomba msamaha ila ndo hivyo anarudia tena.
Kinachonishangaza zaidi ni kwamba huyu wife kazini kwake kote alikiofanya kazi anasifiwa kwa kufanya vizuri iwe yuko na bosi mwanamke au mwanaume. Najiuliza kichwa hichohicho kinashindwaje kufanya hivyo hivyo nyumbani kisifiwe na husband?
Well...Kabla hajaja yeye ngoja nidandie kusema 'wote wana Masters' I guess hii ipo kwen equation tu

Huwa siyo hivyo tu wakati akisha chemsha na ugomvi kutokea mkubwa ukianza kumwambia sikutaki tena yeye kuliko aondoke kuna wakati unamkuta sebuleni anaendelea kupasi nguo zako na baada ya hapo anakutengenezea chai ingawaje inakuwaga vigumu kunywa kutokana na hasira.
Broda there two things in Marriage. But you can choose one and forego the other. HAPPYNESS and BEING RIGHT. You can choose to be Mr RIGHT (you want things to be the way you think) then make sure you will have to accept that you will never be HAPPY. But if you choose to be HAPPY with your family, make sure you accept that you are not always RIGHT. so it is up to you to choose!

NIMEELEWA KWA NINI WA TANZANIA TUNA FAIL MITIHANI RAHISI. THREAD YANGU ILITAKA TU JIBU LA SWALI AMBALO LILIHITAJI "NDIYO AU HAPANA" Kama ningeamua kutoa MARKS hapa wachangiaji wote mnge score ZERO kwa sababu hamkulielewa swali ama kutokana na uvivu wa kufikiri au kwa kujidai wajuaji sana.

samahani mkuu hiyo tabia ya kaka yako wakati kwa walio na uelewa wataiona ni ya kawaida Uswahilini watasema kaka yako ni victim wa limbwata. Na wanaume wengi hatupendi kuonekana kwa mtazamo huo,
Mimi ni mwadilifu itakuwa hatari kila mwana nke kunichungulia navuta subira kwanza bana!!!!!!!