Tatizo hili ni la mke wangu tu au wanawake wote married?

mkeo ni aina fulan kama mchumba wng coz mi nimeamua kuchukulia yeye ni aina tu ya binadamu kati ya millions variaties of human being nilichokifanya kumbagua kidogo katika majukumu haswa yale niliyompaga na hakuyatekeleza au kulipua na hivyo kumfanya AUMIE huku akijilaumu kwanin sikufanya au kwa nin nimelipua na hivyo kumfanya ajirudi automatically Tena ikiwezekana unampa hata Msichana mwenzie ila usiwe na uhusiano nae huyo girl.MPENDE MKEO KWANI KOSA LAKE NI DOGO SANA NDO MAANA MMEFIKISHA UMRI HUO KWENYE NDOA
 
platinum
 

...12yrs of marriage, kwakweli nyie ni ndege mfananao,....na kwa kila mapungufu ya mkeo, nawe yako yanamkera vile vile...ila, kwakuwa mnafanana, si rahisi kwako kuona mapungufu yako.



...acha tu bak, yaani we acha tu...lakini kwa mtazamo wangu, huyu bwana anakabiliwa na mid life crisis ambayo
kama kawaida, 'mnyonge' wake ndiye atayekuwa victim wa kumalizia hasira zake. In this case, mkewe maskini ndiye
anayebebeshwa mizigo ya lawama kwa mapungufu yake mwenyewe mwana kwetu.

...kama walivyo alcoholics, chain smokers, sex addicts na drug addicts, hatoweza kujinusuru na kuangamia kwake ila tu atapojikubalisha yeye ana matatizo/mapungufu pia.

...yeye ndiye dereva wa mawazo yake, na hakuna mwingine anayepaswa kulaumiwa ila yeye mwenyewe. kinyume na hapo, nasikitika sana kumsoma mwenzetu mwana kwetu akielekea kwenye shimo...

mwana kwetu, inaniuma sana,...inaniuma sana bro...
mwana kwetu, badilika kabla hujafikia the point of no return.
mrudie mwenyezi mungu, umemuacha sana mwenyezi mungu,
umepoteza muelekeo, umepoteza njia, nyota na nuru yako inafifia...
moyo na roho yako vinazingirwa na giza,...giza ambalo ni ibada tu itayokuokoa.
 
ndoa ya MOU kwikwikwiiii

NIMEELEWA KWA NINI WA TANZANIA TUNA FAIL MITIHANI RAHISI. THREAD YANGU ILITAKA TU JIBU LA SWALI AMBALO LILIHITAJI "NDIYO AU HAPANA" Kama ningeamua kutoa MARKS hapa wachangiaji wote mnge score ZERO kwa sababu hamkulielewa swali ama kutokana na uvivu wa kufikiri au kwa kujidai wajuaji sana.
 
Kaka ishi na mkeo...

Suppose angekuwa mtoto wako mwenye tabia hizo ungemkata mikono ndugu?

After all mamako na babako walikuvumilia na tabia zako zote ...mvumilie mwenzako...acha

Lower your expectation period life must goes on
 

Unagombana na watu usiowaona duh! mkeo ana kazi aisee.
 
BAk... if we (men) could read what is written in MMU, we'd be better men

Agreed...kuna mtu aliwahi kuandika kwamba JF ni shule kubwa sana, na kauli yake ni ukweli mtupu. Nadhani alikuwa WoS.
 

...hhahhahha.... we bana wee....hebu acha vituko bana.
hii wikiendi inakuishia vibaya bana. hebu mlaani shetani,
kesho jumatatu, wiki mpya inaanza...yaliyopita si ndwele...

unasema ulitaka jibu la ndio au hapana kwa swali lako,
mbona nawe umekuja na maandiko mareeeeeeefu,...au haya "haya hu?!"


...haya bana, na re-seat 'mtihani' na jibu langu ni HAPANA.
 
shida ni kwamba unataka yeye awe kama wewe wakati si wewe,nilichofurahi kuwa ni mwepesi yeye kukiri makosa,hiyo ni nzuri!!!mchukulie hayo ndio madhaifu yake,period!!!!miaka 12 ya ndoa si haba,kama ni mwaminifu kwako,haya mengine yasikupe shida sana,wakati mwingine yapuuzie kama ulishawahi mwambia,ataacha pole pole!!!
 
<br />
<br />
huyo Jestina anakifaduro cha utosi..! Hasikufanye ukapuuza baadhi ya hoja za msingi zilizotolewa na wadau humu, ktk kutatua tatizo/matatizo yako. Binafsi kwanza unahitaji pongezi kwa muda ulionao katika ndoa, kwani unawezakuwa chachu kwa waliomo wenye muda mfupi na wanaotarajia kuingia. Zidisha uvumilivu na kuzidi kumuomba Mungu sana, natumai matokeo yapo njiani.
 


Kwanza nikueleze kwamba sijakaribia age ya mid- life crisis unayosema mi hata 45 yenyewe bado sana. Nashukuru kwa ushauri wenu ila nasikitika pia unatofautiana na ninaopata kwenye chama chetu cha wanaume tulioa yaani couple's group. Katika chama chetu ambacho wake zetu nao ni memmbers kwa kujadili mambo ya akina mama walioolewa kuna mambo ambayo wanaume wengi wana face ktk ndoa ambayo ni common. Na hapa ni ngumu sana ku share everything kwa sababu muda hautoshi na siyo rahisi kueleza kitu kwa maandishi kikaaleweka unavyotaka kieleweke kwani kila mtu anakuwa na different intepretation kama ilivyotokea kwenye hii thread.
 
Reactions: Mbu

Huu ushauri ni more balanced kuliko watu wengine ambao wanatoa ushauri wakiwa wanakunywa kiroba.
 

Kama ushauri unaoupata huko kwenye chama chenu ni tofauti na huu uliopewa hapa jamvini basi nakushauri rudisha kadi ya uanachama haraka sana kabla ya kumpoteza mke mwema kwa sababu ushauri wao haujengi bali unabomoa na hivyo ni ushauri potofu.
 
Uzi wako mkuu si wa kujibiwa ndio au hapana. Rudia maswali ulouliza.

Kama una limit majibu kama tuko darasani nadhani hata vikao unavyoita kwa ajili ya kusuluisha ndoa yenu una wapa limit hao wazee of what to talk. "Wazee nauliza nani mkosaji mimi au mke wangu?" "

Naona jinsi unavyo comment; mara nahesabu kura nani kachangia nini; mara mgejibu ndiyo au hapana. Mara wote mgepata zero. Kha. Discussive power imetufanya tukujue tabia japo hatukujuhi. Utakuwa mtu wa amri sana mkuu.

Sasa hayo masharti hapa tuko jamvini je nyumbani inakuwaje? No wonder unachukua peni na karatasi na kusign mkataba na wife wa mazungumzo yenu.
 
Utofauti wetu na chama chako ndio flavor yenyewe. Unapata wider choice.

 
Reactions: Mbu
<br />
<br />
Mkikutana huko Bar kudanganyana.na soln mnazojipa ni wewe mtafutie small house.MAGROUPE YENU YANA MADHARA SANA.kuna jamaa mmoja yeye mke alimuudhi eti akaamua kupiga mimba mademu.ana watoto sita nje ya ndoa wengine wanalingana umri
 
Kama ulikuwepo huyu jamaa amezoea ku-command..and he looks very formal..

Kaka ndo hutakiwa kuwa formal ki-hivyo take it easy..relax..enjoy.
 

Hata wabunge huwa wanaanza na maelezo mengi then wanamalizia kuuliza tunaomba kujua kama ni kweli au hapana? Nisingekutendea haki kama title ingekuwa swali maelezo kwani akina King'asti wangeanza kusema vp bro mbona hueleweki?
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…