Kibukuasili
JF-Expert Member
- May 15, 2010
- 1,053
- 615
...12yrs of marriage, kwakweli nyie ni ndege mfananao,....na kwa kila mapungufu ya mkeo, nawe yako yanamkera vile vile...ila, kwakuwa mnafanana, si rahisi kwako kuona mapungufu yako.
...acha tu bak, yaani we acha tu...lakini kwa mtazamo wangu, huyu bwana anakabiliwa na mid life crisis ambayo
kama kawaida, 'mnyonge' wake ndiye atayekuwa victim wa kumalizia hasira zake. In this case, mkewe maskini ndiye
anayebebeshwa mizigo ya lawama kwa mapungufu yake mwenyewe mwana kwetu.
...kama walivyo alcoholics, chain smokers, sex addicts na drug addicts, hatoweza kujinusuru na kuangamia kwake ila tu atapojikubalisha yeye ana matatizo/mapungufu pia.
...yeye ndiye dereva wa mawazo yake, na hakuna mwingine anayepaswa kulaumiwa ila yeye mwenyewe. kinyume na hapo, nasikitika sana kumsoma mwenzetu mwana kwetu akielekea kwenye shimo...
mwana kwetu, inaniuma sana,...inaniuma sana bro...
mwana kwetu, badilika kabla hujafikia the point of no return.
mrudie mwenyezi mungu, umemuacha sana mwenyezi mungu,
umepoteza muelekeo, umepoteza njia, nyota na nuru yako inafifia...
moyo na roho yako vinazingirwa na giza,...giza ambalo ni ibada tu itayokuokoa.
BAk... if we (men) could read what is written in MMU, we'd be better men
NIMEELEWA KWA NINI WA TANZANIA TUNA FAIL MITIHANI RAHISI. THREAD YANGU ILITAKA TU JIBU LA SWALI AMBALO LILIHITAJI "NDIYO AU HAPANA" Kama ningeamua kutoa MARKS hapa wachangiaji wote mnge score ZERO kwa sababu hamkulielewa swali ama kutokana na uvivu wa kufikiri au kwa kujidai wajuaji sana.[/QUOTE]
Hahahahahahah......Umenifurahisha sana!!

Mkeo usimwonyeshe huu uzi tafadhali. Unaweza ukamtia kiburi next time mkigombana akasema "wewe mkorofi hata JF wamesema!"

SO puliizi huu ushauri uwe siri yako tekeleza vya kutekeleza vya kuacha viache.

Hizi comment zina msaada kwako si kwake.
NIMEELEWA KWA NINI WA TANZANIA TUNA FAIL MITIHANI RAHISI. THREAD YANGU ILITAKA TU JIBU LA SWALI AMBALO LILIHITAJI "NDIYO AU HAPANA" Kama ningeamua kutoa MARKS hapa wachangiaji wote mnge score ZERO kwa sababu hamkulielewa swali ama kutokana na uvivu wa kufikiri au kwa kujidai wajuaji sana.

Kama una house girl jiliwaze akishtuka atajifunza, au tafuta kimeo kingne weka ndani
Nilishamfukuza huyu wife mara mbili na hayuko tayari kuondoka na kuliko aende kwao ataenda kwa mama yangu kumpigia magoti ili anishawishi nimrudishe . Akiwa kwa mama humwomba mama anipigie simu kuniomba msamaha na anaweza akakaa kwa mama hata siku tatu na huwa inabidi nimheshimu mama yangu basi namkubalia.
Mnaochangia mmeoa au mnachangia tu kwa uzoefu wa kusoma kwenye vitabu vya udaku.? Kuanzia wadhamini nimewaeleza na walishachoka kumweleza na wakasema hatuwezi kuongea na sikio la kufa. wazazi wake walishamwambia na kumwonya na kumfunda mara ya pili na wakaniomba nirudi kukaa naye akileta shida niwaambie tena . Hii ndo ni mojawapo ya sababu kuwa hathubutu kabisa kwenda kwao nikimfukuza. NINGEKUWA MI NINA MATATIZO HAWA MASHAHIDI WOTE INCLUDING WAZAZI WAKE TENA WENYE UWEZO WASINGEMWONYA NA KUMWEKA KIKAO.
Katika kipindi cha miaka 12 ktk ndoa yangu nimegundua tatizo kubwa sana la mke wangu ambalo kwa ufupi ni chanzo kikubwa cha migogoro ktk ndoa yetu. Nimegundua kuwa wife wangu ni vigumu ku keep maagano au makubaliano consistently bila kuvunja. Kwa mfano mnakuta mmekubaliana kwamba tabia au mambo fulani ndani ya ndoa hupendi au yanaleta kero na ugomvi hivyo mke wangu anakubali kabisa kwamba nitaacha sitarudia tena kwani najua nakuudhi" Vivyo hivyo na mimi mume nakubaliana na wife kwamba zile tabia zangu ambazo ni kero kwake nitaacha for good. Huwa nakuwa mwaminifu na nimeacha silika zinazomfanya mke wangu achukie na kukosa amani for her sake.
Mimi nilidhamiria na nimefanikiwa kuacha kabisa vitabia ambavyo ni kero na chanzo cha migogoro na wife kwani sipendi niwe chanzo cha kumfanya wife uncomfortable.
Cha ajabu ni kwamba yeye wife amekuwa na vicious cycle ya kuvunja maagano na maazimio kwa kurudia rudia mambo ambayo ni kero kwangu. Pamoja na kwamba sote ni wasomi kwa level ya Masters inanipa shida kumwelewa ni kwa bahati mbaya au ni kwa makusudi anafanya anapoamua kurudia rudia tabia zinazo nikera. Ukimwuliza kwa nini umevunja makubaliano huwa mbishi na no apology na kuna uwezekano wa escalation ya ugomvi. Hii inanipa shida sana kwani huwa nataka tukikubaliana basi I keep promise kama ninavyomfanyia lakini never.
Uwezo wake wa ku maintain ahadi hauzidi miezi miwili hata kama last time ugomvi ulikuwa mkubwa kiasi gani.
Kinachonishangaza zaidi ni kwamba huyu wife kazini kwake kote alikiofanya kazi anasifiwa kwa kufanya vizuri iwe yuko na bosi mwanamke au mwanaume. Najiuliza kichwa hichohicho kinashindwaje kufanya hivyo hivyo nyumbani kisifiwe na husband?
Huyu wife ni mwepesi wa kukiri kosa na kuomba msamaha ila ndo hivyo anarudia tena.
Naomba kuwauliza mlioko kwenye ndoa je tatizo hili ni la wanawake wote au ni mke wangu tu analo? Na je solution yake nini kwani nimetumia uwezo wangu wote kumwelewesha anavyosababisha ugomvi kwenye marriage bado anaonekana kusahau wiki chache baada ya ugomvi? .