Tatizo kubwa kwa kupungua nguvu za kiume siyo aina ya chakula bali

Tatizo kubwa kwa kupungua nguvu za kiume siyo aina ya chakula bali

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanaJF!

Bora mungu akunyime IQ kuliko nguvu za kiume (manhood). Ni mtazamo wangu tu.

Tatizo kubwa kwasasa linalopunguza nguvu za kiume kwa wanaume wengi hasa vijana ni ponography na punyeto (mastabeshen) na siyo aina ya chakula kama inavyosadikika na wengi.

Hii inatokana sana na teknolojia ya Internet kwenye smartphone na tablets ambapo imekuwa rahis kuingia kwenye tovut za ngono na kujikuta unapiga puli mara kwa mara ukishaziangalia na kuathiri mfumo mzima wa kisaikolojia katika mustakabal mzima wa kugegeda.

Wahanga wengi wa haya makitu wamejikuta kila wakikutana na wenzi wao kugegedana wanajikuta hawana nguvu. Ambapo imepelekea michepuko uchwara mingi katika jamii.

Zamani matatizo kama haya yalijulikana sana kuwakumba wazee na wenye kisukar ila kwa sasa imekuwa tofaut.

Kwa wale wana matatizo kama haya wakijitahid waachane na porn na punyeto kwa wiki mbili wataona mabadiliko makubwa sana na wakiingia uwanjan yani magoli watakayofunga ni ya hatar na kuachia mafuriko kama ya mto Weruweru.

Kwa hisan ya vyanzo vya kuaminika mtandaon.

Young men seeking treatment for erectile dysfunction because of porn
 
upungufu wa nguvu ni tatizo binafsi la mtu mwenyewe na sio punyeto,nimeanza puli tangu darasa 7 mpka chuo ndio nimekuja kuacha.
Sina tatizo lolote la nguvu na piga mzigo kama kawaida naenda round za kutosha tu.
Vyakula ndio chanzo kikubwa cha upungufu wa nguvu za kiume,acheni kula vyakula vya viwandani
 
khaaaaa!
 
Hivi kuna reference standard ya kupima nguvu za kiume?
Ili mtu awe imara lazima kuwepo na mzunguko wa damu,...mazoezi ya viungo+ msosi husaidia kuongeza nguvu za kiume.

Kama mtu hakuzaliwa na hilo tatizo, hawezi kukumbwa nalo ila litatokea kwaa muda tu sababu ya lishe ama stresses, katika hizo hali siyo nguvu za kiume tu bali mwili kwa ujumla huishiwa nguvu

Porn na puchu kamwe havijawahi kusababisha upungufu wa nguvu za kiume!
 
Wataalam wamengundua hilo. Pia kwa wanawake fingering inawapunguzia ham. Ni mfumo wa kisaikolojia sijui niiwekeje yani unakuwa addictive na kufanya hivyo hadi ikifika kufanya tendo la ndoa communication ya mbo na akili havishirikian vizur.
 
Hivi kuna reference standard ya kupima nguvu za kiume?
Ili mtu awe imara lazima kuwepo na mzunguko wa damu,...mazoezi ya viungo+ msosi husaidia kuongeza nguvu za kiume.

Kama mtu hakuzaliwa na hilo tatizo, hawezi kukumbwa nalo ila litatokea kwaa muda tu sababu ya lishe ama stresses, katika hizo hali siyo nguvu za kiume tu bali mwili kwa ujumla huishiwa nguvu

Porn na puchu kamwe havijawahi kusababisha upungufu wa nguvu za kiume!
Wataalam wanadai nguvu ya kiume inaweza kuwepo ila ukizoea porn na punyeto akili inakuwa tempered na kisaikolojia unakuwa addictive hata ukikutana na mwenz wako kudindisha inakuwa ngumu
 
Mkuu umegusa penyewe nilianza punyeto nikiwa darasa la saba nikamaliza la kumi na mbili 2007, nilikua siwazi chochote zaidi ya punyeto.
Niliowa 2013 lakini ikawa bado punyeto inaniandama, sikuwa na ham kabsaa na wife nikitaka kucheza mechi jogoo halipandi mtungi naelekea chooni. Nimejaribu kuacha 2016 mwishoni sasa hivi nainjoi maisha. Kwakumalizia, punyeto ni adui wa nguvu za kiume.
 
VYAKULA NANE VINAVYIHATARISHA NGUVU ZA KIUME KUPUNGUA.

1.MKATE
2.VYAKULA VYA SUKARI
3.SODA
4.BIDHAA ZA VIWANDANI (SOSEJI BISKUIT CHOKLATE MAYONIZE NA NK)
5.POPCORN(BISI)
6.KAHAWA
7.NYAMA ZA KOPO
8.CHIPS

EPUKA VYAKULA HIVI JE VINGAP UNAPENDA KULA KAT YA HIVI
 
bia pia nimeisahau
 
upungufu wa nguvu ni tatizo binafsi la mtu mwenyewe na sio punyeto,nimeanza puli tangu darasa 7 mpka chuo ndio nimekuja kuacha.
Sina tatizo lolote la nguvu na piga mzigo kama kawaida naenda round za kutosha tu.
Vyakula ndio chanzo kikubwa cha upungufu wa nguvu za kiume,acheni kula vyakula vya viwandani
Aisee...!!! Mkuu miaka yote hiyo ulikuwa unatumia kiganja tu,wewe unafaa kuwa mwenyekiti wa kile chama chetu kile.
 
Wataalam wanadai nguvu ya kiume inaweza kuwepo ila ukizoea porn na punyeto akili inakuwa tempered na kisaikolojia unakuwa addictive hata ukikutana na mwenz wako kudindisha inakuwa ngumu
Lol...wengine labda madhara yanabagua....10yrs kwenye game.
 
Back
Top Bottom