Tatizo kubwa la Samia ni Muongo hata kama ukweli upo wazi. Una tupa aibu kubwa. Yaani Rais wa nchi ambaye kwanza kapatikana kwa kura za mezani za uongo halafu kujidanganya vitu ambavyo viko wazi kwenye kamera na kusema vijana walio andamana sio Watanzania!
Uongo wa kiasi hiki huwezi kutegemea kuheshimiwa hata kama wapambe wako wakilazimisha. Magufuli alipenda udikteta lakini alikuwa mkweli kuliko huyu Mama. Tunajua kuna utamaduni wa uongo sana Zanzibar lakini sio kwa kiasi hiki