Tatizo kubwa wa serikali nyingi za Africa na mashariki ya kati

Tatizo kubwa wa serikali nyingi za Africa na mashariki ya kati

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Baada ya kukaa nchi ya USA kwa muda mrefu pamoja na mapungufu mengi wamefanikiwa sana kwasababu hizi

1. Wana mfumo imara ambao kiongozi yeyote anaweza kushinda na kushidwa
2. Mahakama na mfumo wa sheria mzuri
3. Uhuru na sio uchawa
4. Ubunifu
5. Mfumo wa uchumi ambao ni imara mfano bank kuu yao mkurugenzi hatolewi ana muda kisheria. Bank kuu inatakiwa kushughulikia mfumuko wa bei na kuhakikisha ongezeko la kazi.

Tatizo la nchi zetu zinasema zinafuata demokrasia halafu katiba nzuri kwa munufaa ya wote hawapitishi kwasababu ya maslahi ya chama kwa mfano. Wizi wa kura , utekaji . Hatuwezi kuwa na mfumo hewa na kufanikiwa yaani sisi wenyewe hatufuati mifumo yetu
 
Back
Top Bottom