Nina 4G ya uhakika. Apps zote zinagomaNi apps zote au baadhi na vipi mtandao wako unakuwa uko vizuri?
Kwa maana inaweza kuwa shida ni status ya network yako pale unapofungua play store
Kama network inakuwa vizuri hapa cha kuangalia ni account yako.Nina 4G ya uhakika. Apps zote zinagoma
Thanks ngoja nijaribuKama network inakuwa vizuri hapa cha kuangalia ni account yako.
Fungua play store,nenda kwenye account yako, chagua settings,chagua network preferences,chagua app download preference ukifika hapo angalia ni option ipi iko selected maana inawezekana umechagua option ya wi-fi only
Thanks ngoja nijaribu
Mrejesho tafadhali
Ipo kwenye Over any networkMrejesho tafadhali
Tatzo lipo katika download settings, itakuwa umechagua 'download and updates over wi-fi only. Fungua playstore nenda settings kabadilishe itakubaliHabari Wakuu.
Kwa siku tatu Sasa Simu yangu Tecno BC3 imekuwa na tatizo la kudownload Apps kwenye play store. Nikijaribu inasema pending tu. Nimejaribu solutions zote nilizopata mtandaoni isipokuwa factory reset bila mafanikio. Msaada tafadhali.
HApana ipo kwenye over any networkTatzo lipo katika download settings, itakuwa umechagua 'download and updates over wi-fi only. Fungua playstore nenda settings kabadilishe itakubali
Kama option hii ndio iko selected basi jaribu kumuona fundi aliye karibu kwa msaada zaidiHApana ipo kwenye over any network
Ok.Ila nimeitumia muda mrefu bila tatizohapo tatzo ni aina ya hyo simu tecno sio simu tulishakubaliana
Ok.Ila nimeitumia muda mrefu bila tatizo
Duh! Kwa Sasa acha niingie risk ya kuinstall kwa kutumia APK files☹️sasa matatzo ndo yameanza kuja subiri lingine la unfortunately format
OkItakuwa Ram imejaa, ebu delete baadhi ya apps zako afu ujaribu tena.
Una kwama nini ndugu yngu ,ni app gani hio ambayo mpka ikutese hivo ,store ziko nyingi afu unyama tu hebu ingia gugo kisha andika uptodown (hio ni store kubwa).search app yoyote kisha ipakue itakaa fresh tu usisahau kuallow installation from unknown resources,pia kuna happymood pia kuna aptoide zote ni store kubwa na unyama sanaHabari Wakuu,
Kwa siku tatu Sasa Simu yangu Tecno BC3 imekuwa na tatizo la kudownload Apps kwenye play store. Nikijaribu inasema pending tu. Nimejaribu solutions zote nilizopata mtandaoni isipokuwa factory reset bila mafanikio.
Msaada tafadhali.
Thanks mkuu. Ngoja nizicheki hizo storeUna kwama nini ndugu yngu ,ni app gani hio ambayo mpka ikutese hivo ,store ziko nyingi afu unyama tu hebu ingia gugo kisha andika uptodown (hio ni store kubwa).search app yoyote kisha ipakue itakaa fresh tu usisahau kuallow installation from unknown resources,pia kuna happymood pia kuna aptoide zote ni store kubwa na unyama sana
Andika tu kisha download ,yaan andika tu upto down kisha ikifunguka search ukitakacho kisha pakua na tumia ipo siku ata gugo utawaona marofa tuThanks mkuu. Ngoja nizicheki hizo store