Tatizo kudownload Apps Play store

Tatizo kudownload Apps Play store

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Habari Wakuu,

Kwa siku tatu Sasa Simu yangu Tecno BC3 imekuwa na tatizo la kudownload Apps kwenye play store. Nikijaribu inasema pending tu. Nimejaribu solutions zote nilizopata mtandaoni isipokuwa factory reset bila mafanikio.

Msaada tafadhali.
 
Ni apps zote au baadhi na vipi mtandao wako unakuwa uko vizuri?

Kwa maana inaweza kuwa shida ni status ya network yako pale unapofungua play store
 
Nina 4G ya uhakika. Apps zote zinagoma
 
Nina 4G ya uhakika. Apps zote zinagoma
Kama network inakuwa vizuri hapa cha kuangalia ni account yako.

Fungua play store,nenda kwenye account yako, chagua settings,chagua network preferences,chagua app download preference ukifika hapo angalia ni option ipi iko selected maana inawezekana umechagua option ya wi-fi only
 
Thanks ngoja nijaribu
 
Habari Wakuu.
Kwa siku tatu Sasa Simu yangu Tecno BC3 imekuwa na tatizo la kudownload Apps kwenye play store. Nikijaribu inasema pending tu. Nimejaribu solutions zote nilizopata mtandaoni isipokuwa factory reset bila mafanikio. Msaada tafadhali.
Tatzo lipo katika download settings, itakuwa umechagua 'download and updates over wi-fi only. Fungua playstore nenda settings kabadilishe itakubali
 
HApana ipo kwenye over any network
 
Itakuwa Ram imejaa, ebu delete baadhi ya apps zako afu ujaribu tena.
 
Habari Wakuu,

Kwa siku tatu Sasa Simu yangu Tecno BC3 imekuwa na tatizo la kudownload Apps kwenye play store. Nikijaribu inasema pending tu. Nimejaribu solutions zote nilizopata mtandaoni isipokuwa factory reset bila mafanikio.

Msaada tafadhali.
Una kwama nini ndugu yngu ,ni app gani hio ambayo mpka ikutese hivo ,store ziko nyingi afu unyama tu hebu ingia gugo kisha andika uptodown (hio ni store kubwa).search app yoyote kisha ipakue itakaa fresh tu usisahau kuallow installation from unknown resources,pia kuna happymood pia kuna aptoide zote ni store kubwa na unyama sana
 
Thanks mkuu. Ngoja nizicheki hizo store
 
Haka ni katatizo kadogo sana na umefika mbali bure kwa kuchukua maamuzi magumu ya kureset system.

Pending labda inafanya updates au storage imejaa.
Kama sio basi nenda kwenye setting za simu then nenda application settings au vyovyote ilivyoandikwa na utafute playstore ukiipata gusa force stop.
Rudi tena ukafungue playstore then anza tena kudownload ni lazima ikubali.

Hichi kitatizo sijui kinasababishwa na nini na hata google naona wameshindwa kukirekebisha.
 
Back
Top Bottom