mr man city
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 467
- 319
Mimi sio mtaalamu sana wa computer. Ila anti virus niliyopewa ni smadav tu. Ndio ipo.je natakiwa kui uninstall?Nenda kwenye vile vidoti vitatu juu kulia bonyeza halafu screenshot weka hapa. Uliweka crack au software yeyote iliokutaka kuzma Anti-Virus wakat wa ku install?
Hii naiingia wapi mkuuWeka off auto download isiwe inaupdate
Sawa mkuu..ngoja nilifanyie kazi.Pole sana hiyo version mpya inazingua sana, hapo inakuwa inacheck new update..
Cha kufanya download offline setup version ya chini (mi nimeinstall version 98), kwahiyo chagua 98 mpka 100..
Ukishainstall nenda local disc c then tafuta folder la chrome, ingia utakuta setup ya update , utarename kwa kuongeza namba ili kuzuia updates, ukiacha hivyo hivyo itajiupdate na utarud kwenye tatizo lile.