mr man city
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 467
- 319
Kwema wakuu!
Kuna hili tatizo nalipata kwenye chrome. Huwa kuna muda kuna kitu kina-jidownload lakini niki click kwenye download ili nikistop hakionekani.
Niki-Click kama nataka ku-exit chrome ndio inaandika "download is in progress" hapo ndio na exit ili isiendelee kumaliza mb zangu.
Ila niki open tena chrome hicho kitu bado kinajitokeza.
Huwa nakigundua pale ninapoona kwenye icon ya chrome kwa chini kuna kamstari ka kijani kanapita. Hapo najua imeanza tena kuzingua.
Nimejaribu ku-uninstal na ku-instal upya chrome lakini wapi.
Tusaidiane kidogo wakuu kwenye hili. CHROME ni ya kwenye pc sio simu.