Cpp JF-Expert Member Joined Nov 1, 2012 Posts 1,199 Reaction score 2,403 Jun 9, 2022 #1 Wanajamii umeme unagoma kununulika kwa tigopesa/mpesa, kama kuna njia mbadala tujuzane kulala na kiza kimeo
Wanajamii umeme unagoma kununulika kwa tigopesa/mpesa, kama kuna njia mbadala tujuzane kulala na kiza kimeo
Others JF-Expert Member Joined Dec 28, 2013 Posts 1,189 Reaction score 2,765 Jun 9, 2022 #2 Nimekutagia Wahusika: TANESCO au Nenda kwa Wakala.
Mr Devil JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 12,445 Reaction score 27,920 Jun 9, 2022 #3 Kwani jana si walitoa taarifa kabsa ,mnunue umeme mapema wana marekebisho kwenye mfumo wa ununuaji
M maiye JF-Expert Member Joined Dec 16, 2013 Posts 1,159 Reaction score 2,028 Jun 9, 2022 #4 Mr Devil said: Kwani jana si walitoa taarifa kabsa ,mnunue umeme mapema wana marekebisho kwenye mfumo wa ununuaji Click to expand... Binafsi sikibahatika kulipata tangazo. Wamesema marekebisho hayo yanachukua muda gani? Yani lini tutaweza kununua umeme bila shida?
Mr Devil said: Kwani jana si walitoa taarifa kabsa ,mnunue umeme mapema wana marekebisho kwenye mfumo wa ununuaji Click to expand... Binafsi sikibahatika kulipata tangazo. Wamesema marekebisho hayo yanachukua muda gani? Yani lini tutaweza kununua umeme bila shida?
Dr. Wansegamila JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 2,968 Reaction score 8,139 Jun 9, 2022 #5 maiye said: Binafsi sikibahatika kulipata tangazo. Wamesema marekebisho hayo yanachukua muda gani? Yani lini tutaweza kununua umeme bila shida? Click to expand... Cheki
maiye said: Binafsi sikibahatika kulipata tangazo. Wamesema marekebisho hayo yanachukua muda gani? Yani lini tutaweza kununua umeme bila shida? Click to expand... Cheki
Kinkunti El Perdedo JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 5,200 Reaction score 12,762 Jun 9, 2022 #6 Lala kiza
cocochanel Platinum Member Joined Oct 6, 2007 Posts 27,885 Reaction score 76,043 Jun 9, 2022 #7 Na bei yake sasa!!!.. jipange. Kazi iendelee..