Ferdondo13
Member
- Jun 5, 2012
- 18
- 4
Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la UTI kurudi mara kwa mara pamoja na kutumia dawa bila mafanikio.
Ni muda mrefu sasa.
Nimefanya vipimo vyote bila mafanikio. Imefikia kipindi hata nguvu za kibaba zimeondoka.
Nikipiga round moja kitu kukubali tena ni kesho. Sijawahi kuwa na tatizo la hizi nguvu za kibaba hadi nilipoanza kupata hili tatizo la UTI kurudi kila kukicha.
Nahisi ni tatizo lingine kabisa kwenye mfumo wa mkojo ambalo linaji-disguise kama UTI.
Dalili ninazokuwa nazo ni kuchoka kupita kiasi, mdomo kukauka na kuwa mchungu sana, kupoteza hamu ya kufanya mapenzi kabisa na erection inakuwa weak kabisa, hata ile asubuhi kitu kinasimama kivivu sana. Nimeshauriwa nimwone urologist.
Kwa mwenye knowledge na hili msaada tutani tafadhali.