Tatizo kwenye mfumo wa mkojo

Tatizo kwenye mfumo wa mkojo

Ferdondo13

Member
Joined
Jun 5, 2012
Posts
18
Reaction score
4
Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la UTI kurudi mara kwa mara pamoja na kutumia dawa bila mafanikio.

Ni muda mrefu sasa.

Nimefanya vipimo vyote bila mafanikio. Imefikia kipindi hata nguvu za kibaba zimeondoka.

Nikipiga round moja kitu kukubali tena ni kesho. Sijawahi kuwa na tatizo la hizi nguvu za kibaba hadi nilipoanza kupata hili tatizo la UTI kurudi kila kukicha.

Nahisi ni tatizo lingine kabisa kwenye mfumo wa mkojo ambalo linaji-disguise kama UTI.

Dalili ninazokuwa nazo ni kuchoka kupita kiasi, mdomo kukauka na kuwa mchungu sana, kupoteza hamu ya kufanya mapenzi kabisa na erection inakuwa weak kabisa, hata ile asubuhi kitu kinasimama kivivu sana. Nimeshauriwa nimwone urologist.

Kwa mwenye knowledge na hili msaada tutani tafadhali.
 
Polesana mkuu!naona tatzohilo linataka kufikambali huko.dalili kama hizi hujitokeza pale mtu anapokuwa ananyemelewa na prostate anlargement.Ninacho kushauli jitaidi ufanye vipimo kwa mara nyingine ili ujue nini kinachokusumbua.lakini kwa jinsi we ulivyoeleza najua UTI hutokuwa nayo!pia kwani kiuno hakiumi hata kidogo?Nina tibu matatzo hayo kwa dawa za mitishamba!kazi ya dawa hiz kwenye tatzo lako kwanza zinaua bacteria wanaosababisha uti na kuufanya mfumo wa mkojo kuwa ktk haliyake,pili huleta msisimko mkali ktk mfumo mzima wa viungo vya uzaz na huchochea utengenezaji wa sperm kuwa wa hali ya juu na kuuleta preasure kwenye damu na kuufanya uume wako kusimama kwa hali ya juu sana na nguvu kuongezeka ktk uumewako.najua umenipata mkuu ni jukumu lako dozi ni wiki tatu(3)tu.unakuwa umepona kabisha na unaendea kuinjoi maisha yako mkuu.kwa meng zaid ntafute kwa 0759217720.
 
Maelezo yako nimeyaaelewa mkuu,.

Maumbile ya mwanaume ni tofauti na ya mwanamke katika kuhusisha tatizo la mfumo wa mkojo na matatizo ya uzazi maana kwa mwanaume hii mifumo miwili inapitia njia moja kwa mwanaume (urogenital) wakati kwa wanawake hii mifumo miwili ina njia tofauti( urinary stystem and reproductive system).

Kwa tafsiri iliyo rahisi mwanaume anapopata tatizo katika mfumo wa mkojo ni rahisi pia kwa mfumo wa uzazi kupata madhara,.

Nakushauri utafute mtaalamu wa Nephrology atakusaidia,.

Kama upo dar fika pale Regence Hospital Upanga umuulizie specialist wa hili tatizo lako,.

Hata mimi nilishapata tatizo kama lako kama utahitaji msaada zaidi ni-PM nitakusidia pale nitakapoweza!!
 
Back
Top Bottom