Tatizo la Ali Kiba kufanya interviews huku kichwani akimuwazia Diamond

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Kama alivyopata kusema Msanii Ben Paul kuwa Kiba anakuwa overrated halafu inamgharimu sana.

Uwezo na upeo wa msanii yeyote utaupima pia katika mahojiano mbalimbali na media,huwezi kudanganya umma na kuukimbia ukweli.

Nimeangalia interviews kadhaa za Ali Kiba na kugundua kuwa hajiamini badala yake zinakuwa zimejaa,mapozi,tambo,dharau,mashauzi na mambo ya ajabu ajabu.

Nimegundua kuwa tatizo kubwa la Kiba ni kufanya interviews huku kichwani akimuwazia Diamond na mafanikio yake kwa ujumla kwenye mziki na kijamii,pia fans wake ambao ameshindwa kuwapa kile wanachotaka.

Kitendo cha kusema Diamond na Davido walifanya collabo yao back stage,tuzo za Nigeria zinanunuliwa,mimi mkubwa zaidi ya tuzo na vitu kama hivyo vinaonesha uwezo wa Kiba kufikiria ni zero na anaonesha chuki za wazi kwa Diamond.

Fans wa Alikiba mkiongozwa na mademu wa Mond aliowakazaga zamani (Wema na Jokate) acheni kumpeleka puta msanii wenu mpaka mnamchanganya,don't overrate him.

Ali Kiba kama anavyodai kuwa alipumzika mziki kabla ya kurudi tena zile ni fiksi tu,wanaomjua wanamchora maana kapigana sana kwa kutoa nyimbo hapo kati ila hazikuweza kuhit kabisa(Ushahidi upo). Ashukuru kwa hapo alipofikia na akae na wasanii wenzake wafanye muziki mzuri.

Ali Kiba anawaza tu kwamba wasanii wengine hawapaswi kupigiwa kura isipokuwa yeye.Ndio maana tuzo za Bongo za visasi akibebwa anakenua,kimataifa ambako fan base yake hakuna anaishia kulalamika kufanyiwa figisufigisu na kujidai yeye mkubwa zaidi ya tuzo.

Kiba Badilika baba, huu muziki umechange hizi sio zama za Cindellera.

Tizama majigambo haya...

Mimi mkubwa zaidi ya TUZO
 
Last edited by a moderator:
Naona umeandika gazeti hapa,sijui nipashe au udaku,haya Cc @Alkiba
 
Nilikuwa nakuona mtu wa maana kumbe ni kilaza..hii mada yakishambenga.. mtoa mada una matatizo na king kiba au ni miongoni mwa alowakazag@ kama ulivosema..
 
Na wewe pia una matatizo, kajiangalie kwenye kioo umuone mchawi wako.
 
Naona upo kwenye mawazo ya Alikiba. Acha upimbi wewe
 
Huyu kibakuli sio mzima kabisa. Yani mwenyewe anajiona wa maana eti Davido na Diamond wamefanya colabo back stage..... Sasa alijisikiaje Millard alipomshushua kuwa haikufanywa back stage bali kwa Tudd? Huyu jamaa bado sanaaaaaaaaa
 
Umetumbua jipu haswaaa... anapaswa kubadilika, vingnevyo ataanza kuwa kero kwa fans wake, anaemtakia mema kiba hatokuwa against na post bt wale wanafik tutamuona kama yuko ryt...!!
 
Umetumbua jipu haswaaa... anapaswa kubadilika, vingnevyo ataanza kuwa kero kwa fans wake, anaemtakia mema kiba hatokuwa against na post bt wale wanafik tutamuona kama yuko ryt...!!
 
Mleta uzi ni popoma tu,sikutegemea aandike tofauti na alichoandika.
Watuache na Kiba wetu,maringo anayo sababu anaujua mziki.
Mleta uzi ni popoma tu,sikutegemea aandike tofauti na alichoandika.
Watuache na Kiba wetu,maringo anayo sababu anaujua mziki.
Angekuwa anajua mziki tangu anaanza kuimba cindelera hadi leo angalau africa ingemjua maana hadi leo anajulikana mwisho kisumu, lamu na gharisa
 
Mleta uzi ni popoma tu,sikutegemea aandike tofauti na alichoandika.
Watuache na Kiba wetu,maringo anayo sababu anaujua mziki.
Wenye akili timamu watanielewa,shabiki mandazi watanishambulia bila hoja.
 
Wenye akili timamu watanielewa,shabiki mandazi watanishambulia bila hoja.
Kwa hoja gani uliyoitoa/hoji hadi ujibiwe kwa hoja?
Umeandika chuki tupu,huna la maana ulilolisema zaidi ya majungu.
 
Angekuwa anajua mziki tangu anaanza kuimba cindelera hadi leo angalau africa ingemjua maana hadi leo anajulikana mwisho kisumu, lamu na gharisa
Kujua mziki na kujulikana ni vitu viwili tofauti.
Kwa hoja hii nimegundua nimepoteza muda wangu kujibu kiazi.
 
Kujua mziki na kujulikana ni vitu viwili tofauti.
Kwa hoja hii nimegundua nimepoteza muda wangu kujibu kiazi.
Kitu kizuri hakijifichi kitajulikana tu, ndo maana mwanamke mzuri na mwenye figa hata akivaa ijabu na ushungi bado ataonekana tu
 
Kwa hoja gani uliyoitoa/hoji hadi ujibiwe kwa hoja?
Umeandika chuki tupu,huna la maana ulilolisema zaidi ya majungu.

Nimezungumzia kuhusu

1. Tuzo (Anadai yeye mkubwa kuliko tuzo). Analalamika kwa tuzo anazokosa tu.

2. Kujiona bora kuliko wasanii wengine bongo

3. Kuwa muongo (Rejea; Collabo ya Davido,Diamond ilifanyika back stage wakati fika anajua Thomas alisimamia show)

Kuna hoja nyingi sana sema kwakuwa wewe una upofu wa mahaba huwezi kuona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…