Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ali Kiba kama sio kubebwa na madem wazamani wa D.Platrump2016 alowakazaga sijui angelikuwa wapi kwenye gemu,Maana kila demu anaolalanao D naye analalanao.Mwambie awaache ka sio mwisho wa kuimba kwake.Diomond kama si maskendo machafu na kubebwa na media leo sijui angekuwa wapi...
Ali Kiba kama sio kubebwa na madem wazamani wa D.Platrump2016 alowakazaga sijui angelikuwa wapi kwenye gemu,Maana kila demu anaolalanao D naye analalanao.Mwambie awaache ka sio mwisho wa kuimba kwake.
Kwaio wewe Unazo?Ali K anawapalamia madem tu ovovo.Ambao expired date,Ali angekuwa anawajuwa madem ndo angefwata Jokate Malaysia.Kweli wewe ndo hamnazo, Diomond angelikuwa anajua mademu asingekuwa analalamika lalamika kwenye nyimbo zake kishofoga...
Diomond asili yake ni ulimbukeni, akiotea demu lazima atoe single utasema ni sifa,..
Ndio maana namuomba Maulana akheri anizidishie ujinga nilionao kuliko kunipatia werevu wa aina yako ambao bado unakufanya ushindwe kufahamu kwamba asiye mjinga hawezi kuandika ujinga! Mbona simple tu!!Umejitukana mwenyewe uwe unasoma uelewe pyee, (UJINGA na SIMJINGA🙂🙂
Wewe hujui muziki na hautakaa huUjue kwa vile unaongozwa na ushabiki usioelewa unachokishabikia hii hapa live band ya DIAMOND PLATNUMZ.Alinganisha kifo na usingizi huyu,ivi diamond wamlinganisha na alikiba aseee alafu huyo wakuitwa diamond akiwa onstage anasaidiwa na CD,mchek alkiba anaimba hadi live band
Wewe hujui muziki na hautakaa huUjue kwa vile unaongozwa na ushabiki usioelewa unachokishabikia hii hapa live band ya DIAMOND PLATNUMZ.
TENA AKIWA KIGALI RWANDA AMAHORO STADIUM.
View attachment 315358![]()
Na hii hapa ni play back za huyo kiba tena hata dancer hana.
![]()
Ni kweli si chakula,ila inapendeza sana kama utaongea kitu ambacho unakielewa si kuongozwa na hisia.Kwani umekua chakula nisipo ujua nitakufa njaa
Sawa Mrs Kibakuli, tetea ajira yakoKujua mziki na kujulikana ni vitu viwili tofauti.
Kwa hoja hii nimegundua nimepoteza muda wangu kujibu kiazi.