Tatizo la Ali Kiba kufanya interviews huku kichwani akimuwazia Diamond

Nawalaumu sana watu wanaomsimamia kuruhusu interview mbaya kama hii kutoka maana lazma kuna kureview b4 haijaachiwa. Kiukweli inaboa hajui kujieleza
Et Africa knw alikiba is back " damn'- kuna mwafrika alijua kuwa alikiba amepotea mpaka aseme thy knw am back? wakat anajulikana mwisho Kenya"
 
Last edited:
Nasikia siku hizi ukitoka nje ya Tz na Africa mashariki mpaka ulaya ukiulizwa unatokea wapi unataja tu anapokaa Diamond platnumz Basi wanajua kwa chibu dangote kwanza jina tu linauza linaswaga mr icon
 
Ah ah ah! Mi nipo nasikiliza nzela hapa ya live, banana mkali
Oooooh mimi hapa nasikiliza subira yangu ndiyo iliyoniponza,ngoja ngoja naonekana zoba. ,,,kwa banana watasubiri sana
 
Kupenda upofu
Kwa mziki gani alio nao Ali kiba wa kumlinganisha na simba?.
Kiba ni galasa unajitesa kushabikia Galasa
 
Tunapoelekea Kiba hata chiriku/kasuku watamshinda kuimba sasa
 
Mimi ndio maana siku hizi sitaki hata kubishana na wajinga wajinga kama hawa.
Ni kumshushia hadhi Mwanamuziki Ali Kiba kumlinganisha na msanii Diamond.
Hata nyoshi el sadat ni mwanamuziki
 
Mi siku hizi nimeacha kubishana huu ubishi maana najua kabisa namlinganisha Dimond na mtu ambaye hastahili
 
HAPA KAZI TU MANENO PELEKA KWAKO.............WE KEEP THE GOOD MUSIC ALIVE
 
Na ndo maana haendelei hazi kuringaaa tuuu hata vya kuringia hana... Chefuuuu
 
hizi pozi za kitoto ni za zamani...na hata zamani tulikuwa hatupendi wasanii wenye mapozi ndiyo maana JUma Nature alikuwa kipenzi cha mashabiki,,

huyu jamaa kanitoka jumla..JINGA,PUMBAVU,MSHAMBA ANAYEISHI MJINI..
 
Hii interview niliangalia sikumaliza,aiseeana majigambo huyu af anachofanya sikionagi,sijui mnapataga wapi guts kumlinganisha uyu na Dai,hafai,Dai is so humble yani ukimuangalia lazma uwatch hadi mwisho na ufurahi
 
Duh! Kiba kiboko. Yaani mtu wala hahitaji kufahamu Kiswahili manake body language yake tu inamaliza kila kitu!!! Ni kama anatengeneza defense mechanism fulani hivi dhidi ya audience; kwamba, "amini unavyoamini but am on top of everybody!"
 
Alinganisha kifo na usingizi huyu,ivi diamond wamlinganisha na alikiba aseee alafu huyo wakuitwa diamond akiwa onstage anasaidiwa na CD,mchek alkiba anaimba hadi live band
Haya mambo inategemea na style yako ya kuwasilisha mada. Binafsi, probably kutokana na background yangu, SIWEZI kabisa kuongea jambo bila supporting evidence! Siwezi kwenda ng'ambo wasikomfahamu Kiba wala Diamond halafu niseme kwa Tanzania, Kiba yupo juu kuliko Diamond wakati statistics and figures say otherwise... technically, nitakuwa nazungumzia hisia zangu ambazo nikiziendekeza, basi akija mwingine akasema Jux yupo juu kuliko Chris Brown basi sitakiwi kukataa!

Halafu kila wakati naongea na hapa narudia!!! Ali Kiba ameshatoka kwenye kundi la wasanii wanaotakiwa kuwa judged kwa kujua kuimba bali anatakiwa kuwa kwenye kundi la wasanii wanaofanya vizuri! Wanakokuwa judged kwa kujua kuimba ni kule BSS, Tasker Project Fame, Pop Idol and the like, Kiba huko ameshatoka kwahiyo acheni kumpa false hopes! Eti anapiga Live, halafu sijui Banana Zoro nae asemaje!!!
 
Asee huyu jamaa amenishangaza. Na ustaa wote huo hawezi kujieleZa akaeleweka. Hiyo Management yake inatakiwa imfundishe jinsi ya kujibu maswali na kujieleza mbele ya jAmii na sio kuandaa matamasha tu. Mashabiki wengine tunampima msanii kwa Talent yake pamoja na uweZo wa kujielezA mbele za watu
 
Anapoteza muda wake hata kama anajua kuimba kuliko Mondi, mwenzake keshatusua na anajua anachokifanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…