Tatizo la Ali Kiba kufanya interviews huku kichwani akimuwazia Diamond

Diomond kama si maskendo machafu na kubebwa na media leo sijui angekuwa wapi...
 
Diomond kama si maskendo machafu na kubebwa na media leo sijui angekuwa wapi...
Ali Kiba kama sio kubebwa na madem wazamani wa D.Platrump2016 alowakazaga sijui angelikuwa wapi kwenye gemu,Maana kila demu anaolalanao D naye analalanao.Mwambie awaache ka sio mwisho wa kuimba kwake.
 
Ali Kiba kama sio kubebwa na madem wazamani wa D.Platrump2016 alowakazaga sijui angelikuwa wapi kwenye gemu,Maana kila demu anaolalanao D naye analalanao.Mwambie awaache ka sio mwisho wa kuimba kwake.


Kweli wewe ndo hamnazo, Diomond angelikuwa anajua mademu asingekuwa analalamika lalamika kwenye nyimbo zake kishofoga...

Diomond asili yake ni ulimbukeni, akiotea demu lazima atoe single utasema ni sifa,..
 
Kiba hana lolote, kiukweli huyu dogo anabebwa sana na hana nyimbo nzuri.
 
Huyo dogo ni kiazi, anatakiwa kujifunza kitu toka kwa dangote sio majivuni ya kishamba na kitoto... Just stupid! Eti walifanya back stage.. So what!? Binafsi sio mshabiki sana wa diamond kutokana na kutopendezwa na life style yake hasa mahusiano yake lakini jamaa yuko next next next level kuanza kulinganishwa na hawa wanosema back stage...
 
Kweli wewe ndo hamnazo, Diomond angelikuwa anajua mademu asingekuwa analalamika lalamika kwenye nyimbo zake kishofoga...

Diomond asili yake ni ulimbukeni, akiotea demu lazima atoe single utasema ni sifa,..
Kwaio wewe Unazo?Ali K anawapalamia madem tu ovovo.Ambao expired date,Ali angekuwa anawajuwa madem ndo angefwata Jokate Malaysia.
 
Umejitukana mwenyewe uwe unasoma uelewe pyee, (UJINGA na SIMJINGA🙂🙂
Ndio maana namuomba Maulana akheri anizidishie ujinga nilionao kuliko kunipatia werevu wa aina yako ambao bado unakufanya ushindwe kufahamu kwamba asiye mjinga hawezi kuandika ujinga! Mbona simple tu!!
 
Kwa mujibu wa hii interview nimepata picha kwamba Ali Kiba anadhani anafanyiwa fitna na analogwa na Diamond. Anasema hataki kumtaja jina mtu lakini kila mtu anajua. Kitu kingine nimegundua kuwa jamaa Ana IQ ndogo Sana. Sishangai kuimba nyimbo Kama usiniseme napenda Kula pilau na nyama
 
Duuuh!

Hii ni mara ya kwanza kuona mwanamziki anaringa kiasi hiki kwenye interview!!

Mbn kina Wizkid, Davido, Olamide etc. hawaringagi hivi, kwani huyu ana nini???
 
Alinganisha kifo na usingizi huyu,ivi diamond wamlinganisha na alikiba aseee alafu huyo wakuitwa diamond akiwa onstage anasaidiwa na CD,mchek alkiba anaimba hadi live band
Wewe hujui muziki na hautakaa huUjue kwa vile unaongozwa na ushabiki usioelewa unachokishabikia hii hapa live band ya DIAMOND PLATNUMZ.
TENA AKIWA KIGALI RWANDA AMAHORO STADIUM.

Na hii hapa ni play back za huyo kiba tena hata dancer hana.
 
Kwani umekua chakula nisipo ujua nitakufa njaa
 
Mimi ni Shabiki wa mziki mzuri. Sijapenda kabisa hio interview ya ali kiba sijui management yake ina mmnage vipi? Msanii mwenye hits zote hizo Anashindwa kujielezea comfortable? Yani anaishia majigambo na kubonyeza simu Ninachokiona kwa sasa jamaa hajiamini kabisa
 
Ngoja niwaambieni kiba anajua anachofanya na anachokifanya ndivyo alivyoelekezwa kwamba fanya kuchochea kile kinachoitwa "bifu" ili uendelee kuwepo,kwasababu keshajua bila ya hiko kinachoitwa "bifu" yeye si kitu na anapotea mara 1 mbona siku si nyingi hakuwa anajibu namna hii tena alionekana ni mwenye busara kuliko DIAMOND lakini hapa kuna kitu kimeshatengenezwa ili jamaa aendelee kupata nafasi kwahiyo jamaa wamemwambia atumie hiyo fulsa.
 
jamaa ana majivunooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…