Tatizo la Azam FC ni Azam FC

Tatizo la Azam FC ni Azam FC

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,329
Reaction score
4,203
I will be short

Azam fc hata aje gardiola itakuwa Azam FC tu, tatizo la azam fc ni kwa kuwa ni azam fc, no passion no plans no pressure , get paid return home

Today they lost 1 nil

As Kigali 1 - Azam FC 0

As Kigali wasted about 4 big chances.
 
Wewe jamaa huwa una haraka kama unaogea nje. Hiyo ni pre season ambapo kuna factor nyingi sana ya timu kutopata matokeo kama vile kujaribu mifumo, mbinu n.k.. Je una uhakika majembe yaliyo sajiliwa msimu huu kama wamecheza hiyo mechi?
 
Anataka wa m-preason yeye
 
I will be short

Azam fc hata aje gardiola itakuwa Azam tFCu. tatizo la azam fc ni kwa kuwa ni azam fc, no passion no plans no pressure , get paid return home

Today they lost 1 nil

As Kigali 1 - Azam FC 0

As Kigali wasted about 4 big chances.
Ila wabongo bana unajudge team kwa mechi za preseason mnajifanyaga mnajua mpira kumbe ni mambumbumbu tu ndo maana simba na yanga wanaforce kucheza n vitimu havielewek preseason ili washinde kuwafurahisha nyie
 
Azam timu wabadili jina ..
Uliona wapi timu inabeba jina la kampuni? Yaani Azam FC? Au Coca cola FC? ...haitapata mashabiki bila kuachana na jina la Kampuni...
Wajiite Chamazi FC au Mbagala FC waone mashabiki wake watakavyo ibuka
 
Mnazichukulia serious mechi za kirafiki, hayo ni mabonanza, ndio maana hamna idadi ya sub unatoa uwatakao, unatest mifumo hata zaidi ya mitano mechi moja.
 
Wewe jamaa huwa una haraka kama unaogea nje. Hiyo ni pre season ambapo kuna factor nyingi sana ya timu kutopata matokeo kama vile kujaribu mifumo, mbinu n.k.. Je una uhakika majembe yaliyo sajiliwa msimu huu kama wamecheza hiyo mechi?
Huyu jamaa ukimtoa Mwasibu anaongiza kwa nyuzi za kukurupuka JF
 
I will be short

Azam fc hata aje gardiola itakuwa Azam tFCu. tatizo la azam fc ni kwa kuwa ni azam fc, no passion no plans no pressure , get paid return home

Today they lost 1 nil

As Kigali 1 - Azam FC 0

As Kigali wasted about 4 big chances.
Ni wasted au missed!?
 
Mechi ni ya pre season! Wachezaji karibia wanne wa U20 walianza! Kocha ana wachezaji wengi! Na anajaribu kumpa nafasi kila mchezaji ili auone ubora wake! Azam ina wachezaji wasiopungua 7 wenye sifa ya kuanza, wapo kwenye kikosi cha Taifa stars kinachoshiriki CHAN!

Kwa hiyo mtoa mada punguza mihemko. Azam wana timu nzuri na kocha bora sana msimu huu. Usiwachukulie poa, kwa sababu tu wamepoteza kwa hao As Kigali kwenye pre season.
 
leo wote wame cheza with no game improvement,
 
Wewe jamaa huwa una haraka kama unaogea nje. Hiyo ni pre season ambapo kuna factor nyingi sana ya timu kutopata matokeo kama vile kujaribu mifumo, mbinu n.k.. Je una uhakika majembe yaliyo sajiliwa msimu huu kama wamecheza hiyo mechi?
ukiona awapo means awaja fika quality ya kucheza, the game was very poor. Acha kutetea mpira mbovu. putin kacheza leo na no game improvement
 
Azam timu wabadili jina ..
Uliona wapi timu inabeba jina la kampuni? Yaani Azam FC? Au Coca cola FC? ...haitapata mashabiki bila kuachana na jina la Kampuni...
Wajiite Chamazi FC au Mbagala FC waone mashabiki wake watakavyo ibuka

Upo sahihi sana boss

Azam ilipaswa ijiweke upande wa mashabiki kwa kujiita jina ambalo mashabiki na wao linawagusa.

Mtu ambaye kwao ni mbagala. Ni rahisi sana kushabikia timu inayoitwa mbagala Fc.

Zamani bank ya NBC ilikuwa inaogopwa sana na wateja wenye vipato vidogo... Ila ilipoanza huduma ya uwakala wa bank mitaani ikajibadili jina na kuliweka kiswahili.. ili wa kina mama lishe wa mtaani waone ni bank yao wasiogope jina la NBC.

Wamepata wateja wengi sana waliofata jina la benki ya taifa ya biashara. Ila wateja hao hao waliwakosa walipojiita National Bank of commerce.

Ndio maana mawakala wote wa NBC wamepewa mabango ya kiswahili. Na hata matawi wameya rebrand kwa kiswahili
 
I will be short

Azam fc hata aje gardiola itakuwa Azam FC tu, tatizo la azam fc ni kwa kuwa ni azam fc, no passion no plans no pressure , get paid return home

Today they lost 1 nil

As Kigali 1 - Azam FC 0

As Kigali wasted about 4 big chances.
Timu imechezesha madogo wa under 20 bado unawalaum kwa kufungwa subir kikosi kitimie full mkoko ndio uwalaumw
 
ukiona awapo means awaja fika quality ya kucheza, the game was very poor. Acha kutetea mpira mbovu. putin kacheza leo na no game improvement
Kutokuwepo kwenye pre season ni sababu zao maalumu benchi la ufundi na sio kwavile hawajafika quality ya kucheza halafu timu zenye ni za kwawaida tu kama Police na As Kigali. Unajua profile za hao wachezaji wapya? Na je wakicheza kwenye mechi za kimataifa za CAF unakubali tukuite dada shabiki wa marede? Unaongozwa na hisia halafu unaulazimisha kuupenda mpira ukubwani halafu mpira wenyewe unakukata. Punguza u brother 'k' wa kukurupuka.
 
Wewe jamaa huwa una haraka kama unaogea nje. Hiyo ni pre season ambapo kuna factor nyingi sana ya timu kutopata matokeo kama vile kujaribu mifumo, mbinu n.k.. Je una uhakika majembe yaliyo sajiliwa msimu huu kama wamecheza hiyo mechi?
Mashabiki wa kibongo huwa hawafiatilii yanayoendelea duniani.timu zote kubwa ulaya zilifungwa kwenye pre season
 
Back
Top Bottom