Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,329
- 4,203
Anataka wa m-preason yeyeWewe jamaa huwa una haraka kama unaogea nje. Hiyo ni pre season ambapo kuna factor nyingi sana ya timu kutopata matokeo kama vile kujaribu mifumo, mbinu n.k.. Je una uhakika majembe yaliyo sajiliwa msimu huu kama wamecheza hiyo mechi?
Ila wabongo bana unajudge team kwa mechi za preseason mnajifanyaga mnajua mpira kumbe ni mambumbumbu tu ndo maana simba na yanga wanaforce kucheza n vitimu havielewek preseason ili washinde kuwafurahisha nyieI will be short
Azam fc hata aje gardiola itakuwa Azam tFCu. tatizo la azam fc ni kwa kuwa ni azam fc, no passion no plans no pressure , get paid return home
Today they lost 1 nil
As Kigali 1 - Azam FC 0
As Kigali wasted about 4 big chances.
Huyu jamaa ukimtoa Mwasibu anaongiza kwa nyuzi za kukurupuka JFWewe jamaa huwa una haraka kama unaogea nje. Hiyo ni pre season ambapo kuna factor nyingi sana ya timu kutopata matokeo kama vile kujaribu mifumo, mbinu n.k.. Je una uhakika majembe yaliyo sajiliwa msimu huu kama wamecheza hiyo mechi?
Ni wasted au missed!?I will be short
Azam fc hata aje gardiola itakuwa Azam tFCu. tatizo la azam fc ni kwa kuwa ni azam fc, no passion no plans no pressure , get paid return home
Today they lost 1 nil
As Kigali 1 - Azam FC 0
As Kigali wasted about 4 big chances.
leo wote wame cheza with no game improvement,Mechi ni ya pre season! Wachezaji karibia wanne wa U20 walianza! Kocha ana wachezaji wengi! Na anajaribu kumpa nafasi kila mchezaji ili auone ubora wake! Azam ina wachezaji wasiopungua 7 wenye sifa ya kuanza, wapo kwenye kikosi cha Taifa stars kinachoshiriki CHAN!
Kwa hiyo mtoa mada punguza mihemko. Azam wana timu nzuri na kocha bora sana msimu huu. Usiwachukulie poa, kwa sababu tu wamepoteza kwa hao As Kigali kwenye pre season.
wasted, it's a quality issueNi wasted au missed!?
ujaangalia mechi wewe tulia,Huyu jamaa ukimtoa Mwasibu anaongiza kwa nyuzi za kukurupuka JF
ukiona awapo means awaja fika quality ya kucheza, the game was very poor. Acha kutetea mpira mbovu. putin kacheza leo na no game improvementWewe jamaa huwa una haraka kama unaogea nje. Hiyo ni pre season ambapo kuna factor nyingi sana ya timu kutopata matokeo kama vile kujaribu mifumo, mbinu n.k.. Je una uhakika majembe yaliyo sajiliwa msimu huu kama wamecheza hiyo mechi?
Azam timu wabadili jina ..
Uliona wapi timu inabeba jina la kampuni? Yaani Azam FC? Au Coca cola FC? ...haitapata mashabiki bila kuachana na jina la Kampuni...
Wajiite Chamazi FC au Mbagala FC waone mashabiki wake watakavyo ibuka
Japo sijaangalia mpira ila haipingani na fact kwamba una IQ ndogo ya kuchambua mpira upo too emotional kama demu.ujaangalia mechi wewe tulia,
toka lini wewe shabiki wa mpira. nenda kwenye mapenzi huko
Timu imechezesha madogo wa under 20 bado unawalaum kwa kufungwa subir kikosi kitimie full mkoko ndio uwalaumwI will be short
Azam fc hata aje gardiola itakuwa Azam FC tu, tatizo la azam fc ni kwa kuwa ni azam fc, no passion no plans no pressure , get paid return home
Today they lost 1 nil
As Kigali 1 - Azam FC 0
As Kigali wasted about 4 big chances.
Kutokuwepo kwenye pre season ni sababu zao maalumu benchi la ufundi na sio kwavile hawajafika quality ya kucheza halafu timu zenye ni za kwawaida tu kama Police na As Kigali. Unajua profile za hao wachezaji wapya? Na je wakicheza kwenye mechi za kimataifa za CAF unakubali tukuite dada shabiki wa marede? Unaongozwa na hisia halafu unaulazimisha kuupenda mpira ukubwani halafu mpira wenyewe unakukata. Punguza u brother 'k' wa kukurupuka.ukiona awapo means awaja fika quality ya kucheza, the game was very poor. Acha kutetea mpira mbovu. putin kacheza leo na no game improvement
Mashabiki wa kibongo huwa hawafiatilii yanayoendelea duniani.timu zote kubwa ulaya zilifungwa kwenye pre seasonWewe jamaa huwa una haraka kama unaogea nje. Hiyo ni pre season ambapo kuna factor nyingi sana ya timu kutopata matokeo kama vile kujaribu mifumo, mbinu n.k.. Je una uhakika majembe yaliyo sajiliwa msimu huu kama wamecheza hiyo mechi?