Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Tatizo la bei za mafuta ya petroli kupanda ni serikali kushindwa kuwatumia watalaam wa mafuta ipasavyo.
Ikumbukwe tunawatalaam wa mafuta. Hakika hawa wangeweza kutuvusha katika kipindi hichi kigumu.
Wangeweza hata kutengeneza mafuta kutoka kwenye makaa ya mawe kwaajili ya kupunguza utegemezi.
Serikali mko wapi huu ndio muda wa kuwatumia watalaam wetu.
Nchi kama China saivi zimeshaongeza operation za mitambo yao ya kubadili makaa ya mawe kuwa mafuta. Hali kadhalika Afrika Kusini.
Tusiwe wazito jamani tutumie watalaam kwenye kila sekta hili swala la mafuta litapatiwa ufumbuzi.