Tatizo la bei za Mafuta ya Petroli kupanda ni Serikali kushindwa kuwatumia watalaam wa mafuta ipasavyo

Tatizo la bei za Mafuta ya Petroli kupanda ni Serikali kushindwa kuwatumia watalaam wa mafuta ipasavyo

Tatizo la bei za mafuta ya petroli kupanda ni serikali kushindwa kuwatumia watalaam wa mafuta ipasavyo.

Ikumbukwe tunawatalaam wa mafuta. Hakika hawa wangeweza kutuvusha katika kipindi hichi kigumu.

Wangeweza hata kutengeneza mafuta kutoka kwenye makaa ya mawe kwaajili ya kupunguza utegemezi.

Serikali mko wapi huu ndio muda wa kuwatumia watalaam wetu.

Nchi kama China saivi zimeshaongeza operation za mitambo yao ya kubadili makaa ya mawe kuwa mafuta. Hali kadhalika Afrika Kusini.

Tusiwe wazito jamani tutumie watalaam kwenye kila sekta hili swala la mafuta litapatiwa ufumbuzi.
Kupanda Bei ya mafuta Ina factors za nje pia. Ila serikali ineweza kupunguza tozo ingawa tayari ipo kwenye bajeti
 
Tatizo la Tanzania kila mtu ni mjuaji na nadhani unafahamu madhara ya hiyo tabia.

Tanzania kondakta wa daladala anamzidi kocha maarifa ya kufundisha.

Muuza magazeti anamlaumu profesa ya Muhimbili anayetibu binadamu maisha yake yote.

Anayepaa samaki anamkosoa waziri wa fedha. Ni tatizo letu la miaka mingi limeanza tangu enzi za Julius Nyerere.
Form six division Zero anakuwa mwenyekiti wa Chadema taifa chini yake wanakuwepo ma profesa kama Profesa Baregu,Profesa Lwaitama ,Dr Baba Askofu Dr Bagonza ,na wakili na msomi mbobezi mheshimiwa Tundu Lisu na Baba Askofu mkuu msomi mhashimiwa mhashamu Dr Bandekile Mwamakula nk wote wanapiga saluti kwa form six division zero ya Ihungo sekondari Freeman Mbowe!!

Kwa muktadha huo unategemea wasomi waheshimiwe?
 
Form six division Zero anakuwa mwenyekiti wa Chadema taifa chini yake wanakuwepo ma profesa kama Profesa Baregu,Profesa Lwaitama ,Dr Baba Askofu Dr Bagonza ,na wakili na msomi mbobezi mheshimiwa Tundu Lisu nk wote wanapiga saluti kwa form six division zero ya Ihungo sekondari Freeman Mbowe!!

Kwa muktadha huo unategemea wasomi waheshimiwe?
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
 
Haya yakula solution ni kulima malizeti, na karanga.

Malaysia walichukuwa miche ya miweze/michikichi hapo Kigoma. Leo nguvu kazi ya Vijana wakina mwakei yote iko mjini wanadalalia gahawa na kashata. Serikali haioni ingewawezesha na kuwakea mazingira rafiki hawa huko kwao tungekuwa hatuna shida ya mafuta ya kupikia leo.
 
Mtanzania akimaliza shule anawaza apate ajira aendeshe maisha, hakuna anayewaza kutumia akili yake, wote tunataka kuajiliwa na kutimiza ndoto za wenzetu watulipe mshahara mwisho wa mwezi..
😂😂😂😂😂 kuajiriwa ni ndoto ya 90% ya graduates nchini. Hao 10% ndio wale wakishua ambao wao wamesoma ili kuondoa ujinga tu ila mpango ni kuendeleza makampuni ya wazazi.
 
Back
Top Bottom