Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Kaja hivi karibuni....Bei ikipanda ndio kuwakumbuka wataalam....Wewe utakuwa ni mgeni hapa duniani.
Kwanini nduguWewe utakuwa ni mgeni hapa duniani.
ππππππππKwikwikwi
Ova
Mkuu umekuja na majibu mazuri ya haraka
Hili lina ukweli kwa asilimia zoteMtanzania akimaliza shule anawaza apate ajira aendeshe maisha, hakuna anayewaza kutumia akili yake, wote tunataka kuajiliwa na kutimiza ndoto za wenzetu watulipe mshahara mwisho wa mwezi..
John, kwingine yanafanyika lbd mwambie ni mgeni hapa tz.Wewe utakuwa ni mgeni hapa duniani.
Tatizo la Tanzania kila mtu ni mjuaji na nadhani unafahamu madhara ya hiyo tabia.Tatizo la bei za mafuta ya petroli kupanda ni serikali kushindwa kuwatumia watalaam wa mafuta ipasavyo.
Ikumbukwe tunawatalaam wa mafuta. Hakika hawa wangeweza kutuvusha katika kipindi hichi kigumu.
Wangeweza hata kutengeneza mafuta kutoka kwenye makaa ya mawe kwaajili ya kupunguza utegemezi.
Serikali mko wapi huu ndio muda wa kuwatumia watalaam wetu.
Nchi kama China saivi zimeshaongeza operation za mitambo yao ya kubadili makaa ya mawe kuwa mafuta. Hali kadhalika Afrika Kusini.
Tusiwe wazito jamani tutumie watalaam kwenye kila sekta hili swala la mafuta litapatiwa ufumbuzi.
Kijana wa Kitanzania kuifananisha TZ na China ni kukosa heshima, TZ hata mlo Mmoja Kwa siku Kwa familia nyingi ni tabu, viongozi wapo wanawaza uchaguzi 2025, wengine wanawaza Dili zao hakuna ajenda za maendeleo za kitaifa, taasisi nyeti za Serikali ni Tawi la chama tawala acha tu twende ingawa Cha moto tunakipataTatizo la bei za mafuta ya petroli kupanda ni serikali kushindwa kuwatumia watalaam wa mafuta ipasavyo.
Ikumbukwe tunawatalaam wa mafuta. Hakika hawa wangeweza kutuvusha katika kipindi hichi kigumu.
Wangeweza hata kutengeneza mafuta kutoka kwenye makaa ya mawe kwaajili ya kupunguza utegemezi.
Serikali mko wapi huu ndio muda wa kuwatumia watalaam wetu.
Nchi kama China saivi zimeshaongeza operation za mitambo yao ya kubadili makaa ya mawe kuwa mafuta. Hali kadhalika Afrika Kusini.
Tusiwe wazito jamani tutumie watalaam kwenye kila sekta hili swala la mafuta litapatiwa ufumbuzi.
Nini kifanyike sasaKijana wa Kitanzania kuifananisha TZ na China ni kukosa heshima, TZ hata mlo Mmoja Kwa siku Kwa familia nyingi ni tabu, viongozi wapo wanawaza uchaguzi 2025, wengine wanawaza Dili zao hakuna ajenda za maendeleo za kitaifa, taasisi nyeti za Serikali ni Tawi la chama tawala acha tu twende ingawa Cha moto tunakipata
Haya yakula solution ni kulima malizeti, na karanga.Mafuta ya kupikia/chakula nayo tatizo ni lipi? Nchi gani inayo yazalisha huko duniani ambayo iko vitani. Haya yalianza kuongezeka bei yake kwa kasi ya kutisha kabla ya Petroli.
πππππKocha wa simba atamuigaje wa utopolo wakati mmoja kimataifa mwingine mchangani
ππππππππTatizo la Tanzania kila mtu ni mjuaji na nadhani unafahamu madhara ya hiyo tabia.
Tanzania kondakta wa daladala anamzidi kocha maarifa ya kufundisha.
Muuza magazeti anamlaumu profesa ya Muhimbili anayetibu binadamu maisha yake yote.
Anayepaa samaki anamkosoa waziri wa fedha. Ni tatizo letu la miaka mingi limeanza tangu enzi za Julius Nyerere.