Tatizo la bei za Mafuta ya Petroli kupanda ni Serikali kushindwa kuwatumia watalaam wa mafuta ipasavyo

Kupanda Bei ya mafuta Ina factors za nje pia. Ila serikali ineweza kupunguza tozo ingawa tayari ipo kwenye bajeti
 
Form six division Zero anakuwa mwenyekiti wa Chadema taifa chini yake wanakuwepo ma profesa kama Profesa Baregu,Profesa Lwaitama ,Dr Baba Askofu Dr Bagonza ,na wakili na msomi mbobezi mheshimiwa Tundu Lisu na Baba Askofu mkuu msomi mhashimiwa mhashamu Dr Bandekile Mwamakula nk wote wanapiga saluti kwa form six division zero ya Ihungo sekondari Freeman Mbowe!!

Kwa muktadha huo unategemea wasomi waheshimiwe?
 
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Haya yakula solution ni kulima malizeti, na karanga.

Malaysia walichukuwa miche ya miweze/michikichi hapo Kigoma. Leo nguvu kazi ya Vijana wakina mwakei yote iko mjini wanadalalia gahawa na kashata. Serikali haioni ingewawezesha na kuwakea mazingira rafiki hawa huko kwao tungekuwa hatuna shida ya mafuta ya kupikia leo.
 
Mtanzania akimaliza shule anawaza apate ajira aendeshe maisha, hakuna anayewaza kutumia akili yake, wote tunataka kuajiliwa na kutimiza ndoto za wenzetu watulipe mshahara mwisho wa mwezi..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kuajiriwa ni ndoto ya 90% ya graduates nchini. Hao 10% ndio wale wakishua ambao wao wamesoma ili kuondoa ujinga tu ila mpango ni kuendeleza makampuni ya wazazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…