SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Umelaaniwa wewe. Huna mchango wowote ule kwa Binadamu.Kichwa maji wewe.
Sisi tunatakiwa kufuata demokrasia ya aina gani ambayo haitaleta tafrani za hovyo kwenye chaguzi??Elimu uliyosoma ndio tatizo lenyewe.
Hatuwezi kuwa na mfumo unaofanana dunia nzima huku tuna tofautiana mila na desturi.
Kwahiyo Demokrasia sio mfumo wa maana kwa sehemu zetu nasi tunayo Demokrasia yetu hiyo ndio ilitakiwa kufuatwa
Watemi styleSisi tunatakiwa kufuata demokrasia ya aina gani ambayo haitaleta tafrani za hovyo kwenye chaguzi??
Demokrasia yeyote inaweza ikatumiwa ila tu hiyo demokrasia izingatie haki na uhuru wa kila mwananchi kuamua anachotaka kukichagua bila vitisho wala upendeleo wowote !Elimu uliyosoma ndio tatizo lenyewe.
Hatuwezi kuwa na mfumo unaofanana dunia nzima huku tuna tofautiana mila na desturi.
Kwahiyo Demokrasia sio mfumo wa maana kwa sehemu zetu nasi tunayo Demokrasia yetu hiyo ndio ilitakiwa kufuatwa
Kweli 100%Elimu uliyosoma ndio tatizo lenyewe.
Hatuwezi kuwa na mfumo unaofanana dunia nzima huku tuna tofautiana mila na desturi.
Kwahiyo Demokrasia sio mfumo wa maana kwa sehemu zetu nasi tunayo Demokrasia yetu hiyo ndio ilitakiwa kufuatwa
Hata huko Marekani hakuna uhuru wa kuchagua mwananchi wa kawaida hawezi kumchagua raisi isipokuwa watu wachache wenye kura zao.Demokrasia yeyote inaweza ikatumiwa ila tu hiyo demokrasia izingatie haki na uhuru wa kila mwananchi kuamua anachotaka kukichagua bila vitisho wala upendeleo wowote !
Haki bin Haki ikitawala huwezi kusikia migogoro mikubwa kwenye chaguzi zozote zile !
Lakini kama kuna upendeleo na uonevu migogoro haiwezi kuepukika !🙏🙏
Umepiga mle mle. Kila tamaduni iende kulingana na mazingira yao. Sisi hii kitu haina mashiko. China mbona imeendelea na haifuati hiyo Demokrasia ya ulayaKweli 100%
Walakin
haya ni majibu wasioyayataka.
Kikubwa ni kwamba wameshatuma ujumbe wa kukashifu Waafrika. Hawarudi.
Najiuliza, jiulize, Hivi ni kwanini watu hawa ambao kili uchao wanaleta uzi za ushauri na kujimwambafy kwamba wanajua mengi ya hapa Duniani waje kupost na kuuliza swali lenye jibu hapo hapo kana kwamba Mwafrika hajiheshimu...
Ni nini
makasiriko yao?
Je,wanao mbadala? Sidhani
Marekani na Ulaya...au kwa "Wazungu" napo kuna vurugu za Siasa na Mauchaguzi ya kutoheshimiana kutushinda. Ila kwa sababu ya makasiriko yao, wanaleta hizi porojo kana kwamba yanatokea Afrika peke yake.
Ni magaidi tu haya.
Niulize tu, huko kuheshimiana kwao ndio nini?Kwenye Chaguzi zao wanaheshimiana ndio maana mizengwe mizengwe inakuwa haipo na kama ikitokea kidogo kama ilivyotokea enzi za Rais Trump inaonekana ni jambo la ajabu sana na linakemewa mpaka leo hii !!
Kwa sababu wao wanaamini siasa sio Uadui !! 🙏🙏
Africa tumejaa matahira na matahira yana Alegy na amaniMarekani hata hakuna tume ya uchaguzi, serikali za majimbo ndizo zinasimamia mchakato mzima wa kupiga na kuhesabu kura laki hakuna Katibu wa jimbo awe Republican au Democrat anayeiba kura za wapinzani wake. Ila voter suppression kwa sehemu inawalenga watu weusi!
Uingereza hakuna tume ya uchaguzi ya kusimamia upigaji na kuhesabu kura, hii kazi yote inafanywa na serikali za mitaa. Tume yao ya uchaguzi ni kwa ajili ya kuhakikisha mchakato na sheria za uchaguzi tu zimezingatiwa. Uchaguzi wao pia haujawahi kuwa na shida, hakuna wizi wa kura.
Ufaransa kura zinahesabiwa na watu wa kujitolea kisha serikali za mtaa zinathibitisha na kutangaza matokeo, kama huwezi kwenda kituoni kupiga kura unaweza kumtuma mtu akupelekee kura yako polisi. Uchaguzi wao hauna shida pia.
Makaburu wa Africa Kusini wakati wanawazuia watu weusi kupiga kura wao wenyewe walikuwa wanaheshimu uchaguzi wao na hawabiani kura!
Sisi Waafrika lazima tuna shida mahali, tuna sheria na miongozo chungu nzima ya uchaguzi ila chaguzi zetu zina matatizo makubwa na mara zote hakuna anayekubali kushindwa na wengine wanaishia katika kukataa uchaguzi, kufungua kesi, maandamano au kupigana vita za kuuana kabisa!
Muulize Trump atakwambia kuhusu wazunguMarekani hata hakuna tume ya uchaguzi, serikali za majimbo ndizo zinasimamia mchakato mzima wa kupiga na kuhesabu kura laki hakuna Katibu wa jimbo awe Republican au Democrat anayeiba kura za wapinzani wake. Ila voter suppression kwa sehemu inawalenga watu weusi!
Uingereza hakuna tume ya uchaguzi ya kusimamia upigaji na kuhesabu kura, hii kazi yote inafanywa na serikali za mitaa. Tume yao ya uchaguzi ni kwa ajili ya kuhakikisha mchakato na sheria za uchaguzi tu zimezingatiwa. Uchaguzi wao pia haujawahi kuwa na shida, hakuna wizi wa kura.
Ufaransa kura zinahesabiwa na watu wa kujitolea kisha serikali za mtaa zinathibitisha na kutangaza matokeo, kama huwezi kwenda kituoni kupiga kura unaweza kumtuma mtu akupelekee kura yako polisi. Uchaguzi wao hauna shida pia.
Makaburu wa Africa Kusini wakati wanawazuia watu weusi kupiga kura wao wenyewe walikuwa wanaheshimu uchaguzi wao na hawabiani kura!
Sisi Waafrika lazima tuna shida mahali, tuna sheria na miongozo chungu nzima ya uchaguzi ila chaguzi zetu zina matatizo makubwa na mara zote hakuna anayekubali kushindwa na wengine wanaishia katika kukataa uchaguzi, kufungua kesi, maandamano au kupigana vita za kuuana kabisa!
Sio kweli kwa mfano upi umekufaUzuri uwongo na fikra kama hizo wanazo walamba miguu na makobazi tu.
Hata Ulaya na Marekani mifumo yao si salama na mingi imekufa zaidi kushinda hata ya Afrika.
Haiwezi fanikiwa vichwa maji wengiWatemi style
Bado una cholera unawaza kuheshimiana? Naunga mkono Uongozi wa semi autocracy Kwa Africa Kwa sababu kinyume na hapo tunaweza kupata viongozi wapumbavu mara mbili Kwa sababu jamii ni illiterate na haijastaarabika.Marekani hata hakuna tume ya uchaguzi, serikali za majimbo ndizo zinasimamia mchakato mzima wa kupiga na kuhesabu kura laki hakuna Katibu wa jimbo awe Republican au Democrat anayeiba kura za wapinzani wake. Ila voter suppression kwa sehemu inawalenga watu weusi!
Uingereza hakuna tume ya uchaguzi ya kusimamia upigaji na kuhesabu kura, hii kazi yote inafanywa na serikali za mitaa. Tume yao ya uchaguzi ni kwa ajili ya kuhakikisha mchakato na sheria za uchaguzi tu zimezingatiwa. Uchaguzi wao pia haujawahi kuwa na shida, hakuna wizi wa kura.
Ufaransa kura zinahesabiwa na watu wa kujitolea kisha serikali za mtaa zinathibitisha na kutangaza matokeo, kama huwezi kwenda kituoni kupiga kura unaweza kumtuma mtu akupelekee kura yako polisi. Uchaguzi wao hauna shida pia.
Makaburu wa Africa Kusini wakati wanawazuia watu weusi kupiga kura wao wenyewe walikuwa wanaheshimu uchaguzi wao na hawabiani kura!
Sisi Waafrika lazima tuna shida mahali, tuna sheria na miongozo chungu nzima ya uchaguzi ila chaguzi zetu zina matatizo makubwa na mara zote hakuna anayekubali kushindwa na wengine wanaishia katika kukataa uchaguzi, kufungua kesi, maandamano au kupigana vita za kuuana kabisa!
Yoda Tafadhali.Sasa katika mamia ya wagombea urais waliowahi kupita Marekani tangu uhuru mtu mmoja tu kusema amaeibiwa kura huoni huo mfumo unafanya kazi vizuri na uko thabiti sana.
Fikra hasi kama hizi kwa Mwaafrika ndizo zinazozo wachanganya watu kufikiria hatushehimiani...
Afrika hakuna shida za kuheshimiana, shida ipo kwa wazungu kutokuheshimu mifumo na michakato ya Uchaguzi za Waafrika.
Waafrika kwa sasa hawadanganyiki sana kivile.
Waambie waache kutuingilia katika chaguzi zetu.
Kuna ujinga mwingi tu huko uzunguni tatizo mnalishwa matango pori na western Media....walichojaaliwa wao hawasemani vibaya ...au umesahau kuwa Trump alilalamikia wizi wa kura
Tatizo elimu iliyopandikizwa kwetu ndio kikwazo chenyewe. Wakati huo UK iko chini ya utawala wa Kifalme. Sisi tunaona ujinga. Na huo ndio ujinga wenyewe.Haiwezi fanikiwa vichwa maji wengi
You have nailed itTatizo lako ni sweeping statements. Serbia ni Nchi ya wazungu kumetokea maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi,wapinzani wakidai wameibiwa.Marekani uchaguzi uliopita mgogoro bado unaendelea.Uwewahi kusikia mgogoro wa uchaguzi Botwasna,Namibia au hata Zambia.Je hizo sio Nchi za kiafrika?
Migogoro mingi inaletwa pia na upande mmoja kutoheshimu sanduku la kura. Wakishinda wao all is all right wakishindwa wameibiwa.
Tunaposema chaguzi zetu ni za kishenzi tuna ushahidi na tunayoyasema, Wala sio mzungu kaja kutuambia kuwa chaguzi zetu ni za kishenzi. Isitoshe hujaelewa mada bali umeiparamia na kuanza kujibu out of context. Soma alichoweka mleta Uzi ndio uongize ushabiki wako wa kijinga.Fikra hasi kama hizi kwa Mwaafrika ndizo zinazozo wachanganya watu kufikiria hatushehimiani...