Pre GE2025 Tatizo la chaguzi za Afrika ni nini hasa? Kwa nini wazungu wanaheshimiana sana kwenye chaguzi zao?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Elimu uliyosoma ndio tatizo lenyewe.
Hatuwezi kuwa na mfumo unaofanana dunia nzima huku tuna tofautiana mila na desturi.
Kwahiyo Demokrasia sio mfumo wa maana kwa sehemu zetu nasi tunayo Demokrasia yetu hiyo ndio ilitakiwa kufuatwa
Sisi tunatakiwa kufuata demokrasia ya aina gani ambayo haitaleta tafrani za hovyo kwenye chaguzi??
 
Elimu uliyosoma ndio tatizo lenyewe.
Hatuwezi kuwa na mfumo unaofanana dunia nzima huku tuna tofautiana mila na desturi.
Kwahiyo Demokrasia sio mfumo wa maana kwa sehemu zetu nasi tunayo Demokrasia yetu hiyo ndio ilitakiwa kufuatwa
Demokrasia yeyote inaweza ikatumiwa ila tu hiyo demokrasia izingatie haki na uhuru wa kila mwananchi kuamua anachotaka kukichagua bila vitisho wala upendeleo wowote !
Haki bin Haki ikitawala huwezi kusikia migogoro mikubwa kwenye chaguzi zozote zile !
Lakini kama kuna upendeleo na uonevu migogoro haiwezi kuepukika !🙏🙏
 
Kweli 100%
Walakin
haya ni majibu wasioyayataka.

Kikubwa ni kwamba wameshatuma ujumbe wa kukashifu Waafrika. Hawarudi.

Najiuliza, jiulize, Hivi ni kwanini watu hawa ambao kili uchao wanaleta uzi za ushauri na kujimwambafy kwamba wanajua mengi ya hapa Duniani waje kupost na kuuliza swali lenye jibu hapo hapo kana kwamba Mwafrika hajiheshimu...

Ni nini
makasiriko yao?
Je,wanao mbadala? Sidhani

Marekani na Ulaya...au kwa "Wazungu" napo kuna vurugu za Siasa na Mauchaguzi ya kutoheshimiana kutushinda. Ila kwa sababu ya makasiriko yao, wanaleta hizi porojo kana kwamba yanatokea Afrika peke yake.

Ni magaidi tu haya.
 
Hata huko Marekani hakuna uhuru wa kuchagua mwananchi wa kawaida hawezi kumchagua raisi isipokuwa watu wachache wenye kura zao.
Hitajiko ni maendeleo sio kila mtu afanya anavyotaka. Wengine inabidi wachaguliwe nani anawafaa ili mradi wenye jukumu hawatangulizi ubinafsi. Mojawapo ya sera nzuri kuharakisha maendeleo ni Udikteta ambao huamru na wengine wafuate. Hapa ambacho ni cha muhimu ni anayeamrisha analengo la kunufaisha?
 
Kweli 100%
Walakin
haya ni majibu wasioyayataka.

Kikubwa ni kwamba wameshatuma ujumbe wa kukashifu Waafrika. Hawarudi.

Najiuliza, jiulize, Hivi ni kwanini watu hawa ambao kili uchao wanaleta uzi za ushauri na kujimwambafy kwamba wanajua mengi ya hapa Duniani waje kupost na kuuliza swali lenye jibu hapo hapo kana kwamba Mwafrika hajiheshimu...

Ni nini
makasiriko yao?
Je,wanao mbadala? Sidhani

Marekani na Ulaya...au kwa "Wazungu" napo kuna vurugu za Siasa na Mauchaguzi ya kutoheshimiana kutushinda. Ila kwa sababu ya makasiriko yao, wanaleta hizi porojo kana kwamba yanatokea Afrika peke yake.

Ni magaidi tu haya.
Umepiga mle mle. Kila tamaduni iende kulingana na mazingira yao. Sisi hii kitu haina mashiko. China mbona imeendelea na haifuati hiyo Demokrasia ya ulaya
 
Kwenye Chaguzi zao wanaheshimiana ndio maana mizengwe mizengwe inakuwa haipo na kama ikitokea kidogo kama ilivyotokea enzi za Rais Trump inaonekana ni jambo la ajabu sana na linakemewa mpaka leo hii !!
Kwa sababu wao wanaamini siasa sio Uadui !! 🙏🙏
Niulize tu, huko kuheshimiana kwao ndio nini?

Itoshe, vurugu za Trump zinaendelea mpaka leo hii, Ulaya napo vilevile na havina uajabu wowote ule kama unavyotaka tuamini. Again, kama ni vitu vya ajabu how do yo explain sheria zinazotumiwa kuleteana mizengwe huko, unataka kusema hizo sheria walizinyakua Afrika? ahhh Mzee wangu!
 
Marekani hata hakuna tume ya uchaguzi, serikali za majimbo ndizo zinasimamia mchakato mzima wa kupiga na kuhesabu kura laki hakuna Katibu wa jimbo awe Republican au Democrat anayeiba kura za wapinzani wake. Ila voter suppression kwa sehemu inawalenga watu weusi!

Uingereza hakuna tume ya uchaguzi ya kusimamia upigaji na kuhesabu kura, hii kazi yote inafanywa na serikali za mitaa. Tume yao ya uchaguzi ni kwa ajili ya kuhakikisha mchakato na sheria za uchaguzi tu zimezingatiwa. Uchaguzi wao pia haujawahi kuwa na shida, hakuna wizi wa kura.

Ufaransa kura zinahesabiwa na watu wa kujitolea kisha serikali za mtaa zinathibitisha na kutangaza matokeo, kama huwezi kwenda kituoni kupiga kura unaweza kumtuma mtu akupelekee kura yako polisi. Uchaguzi wao hauna shida pia.

Makaburu wa Africa Kusini wakati wanawazuia watu weusi kupiga kura wao wenyewe walikuwa wanaheshimu uchaguzi wao na hawabiani kura!

Sisi Waafrika lazima tuna shida mahali, tuna sheria na miongozo chungu nzima ya uchaguzi ila chaguzi zetu zina matatizo makubwa na mara zote hakuna anayekubali kushindwa na wengine wanaishia katika kukataa uchaguzi, kufungua kesi, maandamano au kupigana vita za kuuana kabisa!
Africa tumejaa matahira na matahira yana Alegy na amani
 
Muulize Trump atakwambia kuhusu wazungu
 
Uzuri uwongo na fikra kama hizo wanazo walamba miguu na makobazi tu.

Hata Ulaya na Marekani mifumo yao si salama na mingi imekufa zaidi kushinda hata ya Afrika.
Sio kweli kwa mfano upi umekufa
 
Marekani hata hakuna tume ya uchaguzi, serikali za majimbo ndizo zinasimamia mchakato mzima wa kupiga na kuhesabu kura laki hakuna Katibu wa jimbo awe Republican au Democrat anayeiba kura za wapinzani wake. Ila voter suppression kwa sehemu inawalenga watu weusi!

Uingereza hakuna tume ya uchaguzi ya kusimamia upigaji na kuhesabu kura, hii kazi yote inafanywa na serikali za mitaa. Tume yao ya uchaguzi ni kwa ajili ya kuhakikisha mchakato na sheria za uchaguzi tu zimezingatiwa. Uchaguzi wao pia haujawahi kuwa na shida, hakuna wizi wa kura.

Ufaransa kura zinahesabiwa na watu wa kujitolea kisha serikali za mtaa zinathibitisha na kutangaza matokeo, kama huwezi kwenda kituoni kupiga kura unaweza kumtuma mtu akupelekee kura yako polisi. Uchaguzi wao hauna shida pia.

Makaburu wa Africa Kusini wakati wanawazuia watu weusi kupiga kura wao wenyewe walikuwa wanaheshimu uchaguzi wao na hawabiani kura!

Sisi Waafrika lazima tuna shida mahali, tuna sheria na miongozo chungu nzima ya uchaguzi ila chaguzi zetu zina matatizo makubwa na mara zote hakuna anayekubali kushindwa na wengine wanaishia katika kukataa uchaguzi, kufungua kesi, maandamano au kupigana vita za kuuana kabisa!
Bado una cholera unawaza kuheshimiana? Naunga mkono Uongozi wa semi autocracy Kwa Africa Kwa sababu kinyume na hapo tunaweza kupata viongozi wapumbavu mara mbili Kwa sababu jamii ni illiterate na haijastaarabika.
 
Sasa katika mamia ya wagombea urais waliowahi kupita Marekani tangu uhuru mtu mmoja tu kusema amaeibiwa kura huoni huo mfumo unafanya kazi vizuri na uko thabiti sana.
Yoda Tafadhali.

Usipotoshe.

John Quincy Adams kwenye uchaguzi wa Rais na Andrew Jackson alisema uchaguzi umeibiwa! hiyo ilikuwa mwaka 1824.

Samuel Tiden 1876 alidai uchaguzi ulikuwa na vitisho na wizi wa kura.

Richard Nixon alishindwa kwa J.F Kennedy nae alidai wameongeza kura kwenye masanduku! hiyo ni 1960!

Al Gore mwaka 2000!

au?

Utakataa hayo?

Hizo taarifa Wikipedia zipo, wewe unatudanganya hapa kama sio kutukana na kupotosha ni nini?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Fikra hasi kama hizi kwa Mwaafrika ndizo zinazozo wachanganya watu kufikiria hatushehimiani...

Afrika hakuna shida za kuheshimiana, shida ipo kwa wazungu kutokuheshimu mifumo na michakato ya Uchaguzi za Waafrika.

Waafrika kwa sasa hawadanganyiki sana kivile.

Waambie waache kutuingilia katika chaguzi zetu.

Of all yaani una wa blame wazungu kwa chaguzi zetu wenyewe?
Kwenye zama hizi bado unamlaumi mtu mweupe kwa chaguzi ambazo tunapanga wenyewe, tuna teua wenyewe ? Ni mara ngapi uchaguzi tuna uvuruga wenyewe tena mamlaka kubwa zikihusika?
Halaf unalaumu wazungu. Wake up bro
Oh eti waafrika hatudanganyiki nani kasema?

How many times tumeona wenye dhamana wameingizwa mkenge na raia wa nje na waka sign mikataba mibovu?

Ni lini tutachukua responsibility ya matendo yetu wenyewe na kuacha kuwalaumu watu ambao basicaly hawapo?
 
Tatizo lako ni sweeping statements. Serbia ni Nchi ya wazungu kumetokea maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi,wapinzani wakidai wameibiwa.Marekani uchaguzi uliopita mgogoro bado unaendelea.Uwewahi kusikia mgogoro wa uchaguzi Botswana,Namibia au hata Zambia.Je hizo sio Nchi za kiafrika?
Migogoro mingi inaletwa pia na upande mmoja kutoheshimu sanduku la kura. Wakishinda wao all is all right wakishindwa wameibiwa.
 
Kuna ujinga mwingi tu huko uzunguni tatizo mnalishwa matango pori na western Media....walichojaaliwa wao hawasemani vibaya ...au umesahau kuwa Trump alilalamikia wizi wa kura

Wazungu si watakatifu kwamba hawana madudu, but atleast likija suala la uchaguzi hawana masiara. Wanajua uchaguzi ndio future ya nchi.
 
Haiwezi fanikiwa vichwa maji wengi
Tatizo elimu iliyopandikizwa kwetu ndio kikwazo chenyewe. Wakati huo UK iko chini ya utawala wa Kifalme. Sisi tunaona ujinga. Na huo ndio ujinga wenyewe.
African tuna tradition zetu ambazo hazifanani na watu weupe. Huwezi kama Mwafrika kuletewa eti Haki ya mwanaume kuinamishwa halafu ukikataa uonekane haufai kuwa kiongozi.

Huwezi kulazimisha 50/50 ngazi za utawala wakati tunajua mwanamke wa kiafrika ni nani na mwanaume ni nani?
Huwezi kulazimisha mwanaume wa Kafrika aende kliniki na mke wake wakati tunajua hata nature zao za kazi . Ni upuuzi tupu.

Afrika i solve matatizo yake katika mtindo wa Kafrika sio observers to nje ya Afrika.
Never ever. Tutabaki katka vicious cycle hii forever
 
Tatizo lako ni sweeping statements. Serbia ni Nchi ya wazungu kumetokea maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi,wapinzani wakidai wameibiwa.Marekani uchaguzi uliopita mgogoro bado unaendelea.Uwewahi kusikia mgogoro wa uchaguzi Botwasna,Namibia au hata Zambia.Je hizo sio Nchi za kiafrika?
Migogoro mingi inaletwa pia na upande mmoja kutoheshimu sanduku la kura. Wakishinda wao all is all right wakishindwa wameibiwa.
You have nailed it
 
Fikra hasi kama hizi kwa Mwaafrika ndizo zinazozo wachanganya watu kufikiria hatushehimiani...

Afrika hakuna shida za kuheshimiana, shida ipo kwa wazungu kutokuheshimu mifumo na michakato ya Uchaguzi za Waafrika.

Waafrika kwa sasa hawadanganyiki sana kivile.

Waambie waache kutuingilia katika chaguzi zetu.
Tunaposema chaguzi zetu ni za kishenzi tuna ushahidi na tunayoyasema, Wala sio mzungu kaja kutuambia kuwa chaguzi zetu ni za kishenzi. Isitoshe hujaelewa mada bali umeiparamia na kuanza kujibu out of context. Soma alichoweka mleta Uzi ndio uongize ushabiki wako wa kijinga.
 
Back
Top Bottom