SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Of all yaani una wa blame wazungu kwa chaguzi zetu wenyewe?
Wapi hapo nime blame wazungu? Wewe una blame Mwafrika?
Kwenye zama hizi bado unamlaumi mtu mweupe kwa chaguzi ambazo tunapanga wenyewe, tuna teua wenyewe
Usigeuze kibao. Hoja ni Kuheshimiana
Wewe umeona wapi uchaguzi unavurugwa na mamlaka ndogo?? Ni mara ngapi uchaguzi tuna uvuruga wenyewe tena mamlaka kubwa zikihusika?
Wewe una mlaumu nani?Halaf unalaumu wazungu. Wake up bro
HatudanganyikiOh eti waafrika hatudanganyiki nani kasema?
Ndio kusema, wanatuingilia chaguzi zetu. Soma tenaHow many times tumeona wenye dhamana wameingizwa mkenge na raia wa nje na waka sign mikataba mibovu?
Sasa hapa anayelalama ni nani? Wewe umefanya nini baada ya kuchukua hiyo responsibility? Rudi kwenye hoja.Ni lini tutachukua responsibility ya matendo yetu wenyewe na kuacha kuwalaumu watu ambao basicaly hawapo?