Pre GE2025 Tatizo la chaguzi za Afrika ni nini hasa? Kwa nini wazungu wanaheshimiana sana kwenye chaguzi zao?

Pre GE2025 Tatizo la chaguzi za Afrika ni nini hasa? Kwa nini wazungu wanaheshimiana sana kwenye chaguzi zao?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwafrica ni halali yake kutawaliwa na kusimamiwa, kwa sababu wengi wao, wana tofauti ndogo sana na wanyama.
Hayo ni madai ya uwongo na hayana msingi wowote ule zaidi yakuwa ni ya Kibaguzi. Racist in Nature. Madai yako hayana msingi in biology na wala hayana mantiki. There is no logic.
Kwa wanyama, ni yule mwenye nguvu ndiye huchukua vyote. Hata jogoo hafanyi mawasiliano yoyote na tetea wala majogoo wengine. Jogoo anayeweza kuwapiga kwa nguvu majogoo wengibe wote, anawabeba tetea wote bila hata ya kuwauliza wale tetea kama wanamkubalia.
???
Ndiyo maana chaguzi za nchi nyingi za Afrika ni uchafu mtupu. Na uchafu hufanywa zaidi na watawala. Kwa vile watawala wana nguvu za dola, basi huyatumia maguvu hayo kupora madaraka bila ya kujali maamuzi ya wananchi. Halafu huo upumbavu ndio wanauita demokrasia ya Waafrika. Very stupid!!
Ni mtu mwenye hasira sana na fikra potofu ndie anayeweza kunena hayo uliyonena.
Bahati nzuri haya mapumbavu yanayopenda kujificha kwenye "demokrasia ya Waafrika", yanapotekeleza unyama wao, yanazidi kupungua. Hatua kwa hatua, baadhi ya nchi zinazidi kustaarabika, na kuheshimu maamuzi ya wananchi:
Ha ha ha. Unatamani hayo yawe kweli. Duh! What a hogwash.
Afrika ya Mashariki, Kenya imekwishaondoka kwenye huo upumbavu.

Afrika Ya Kusini, Botswana, Malawi na Afrika Kusini zimeondoka kwenye huo uoumbavu.

Afrika Magharibi, Nigeria, Liberia na Ghana wameondoka kwenye huo upumbavu.
Punguza jazba. Punguza matusi.
 
Kuna ujinga mwingi tu huko uzunguni tatizo mnalishwa matango pori na western Media....walichojaaliwa wao hawasemani vibaya ...au umesahau kuwa Trump alilalamikia wizi wa kura
Mbona unaongopa mchana kweupe? Western countries hakuna ujinga. Sehemu zenye matatizo ni hawa waliokuwa wakomunisti. Trump hakuibiwa ila alitaka kulazimisha na kwa sababu utaratibu wao ni mzuri akashindwa kufanya lolote.
 
ana stress za January huyoo!anajibujibu watu ovyo na taarabu zake!chizi kabisaa
Kuwa na mtoto wa kambo kama wewe ni stress tupu.

Hebu tulia huko nje na nye nye nye zako. Bao ndio kwanza linakuja.
 
Laaana inakutafuna. Useless to any society.

Ati nikakojoe, leo navaa Kondom nisije kuzaa toto lenye laana mbaya sana kama wewe.

Aise umebarikiwa Laana wewe.
Baba yako bora angemwaga manii zake chooni kuliko alivyo kuzaa mwehu kama wewe.
 
Marekani hata hakuna tume ya uchaguzi, serikali za majimbo ndizo zinasimamia mchakato mzima wa kupiga na kuhesabu kura laki hakuna Katibu wa jimbo awe Republican au Democrat anayeiba kura za wapinzani wake. Ila voter suppression kwa sehemu inawalenga watu weusi!

Uingereza hakuna tume ya uchaguzi ya kusimamia upigaji na kuhesabu kura, hii kazi yote inafanywa na serikali za mitaa. Tume yao ya uchaguzi ni kwa ajili ya kuhakikisha mchakato na sheria za uchaguzi tu zimezingatiwa. Uchaguzi wao pia haujawahi kuwa na shida, hakuna wizi wa kura.

Ufaransa kura zinahesabiwa na watu wa kujitolea kisha serikali za mtaa zinathibitisha na kutangaza matokeo, kama huwezi kwenda kituoni kupiga kura unaweza kumtuma mtu akupelekee kura yako polisi. Uchaguzi wao hauna shida pia.

Makaburu wa Africa Kusini wakati wanawazuia watu weusi kupiga kura wao wenyewe walikuwa wanaheshimu uchaguzi wao na hawabiani kura!

Sisi Waafrika lazima tuna shida mahali, tuna sheria na miongozo chungu nzima ya uchaguzi ila chaguzi zetu zina matatizo makubwa na mara zote hakuna anayekubali kushindwa na wengine wanaishia katika kukataa uchaguzi, kufungua kesi, maandamano au kupigana vita za kuuana kabisa!
George Wear kakubali matokeo mbona, we sema Tanzania sababu ya mfumo ovu wa CCM, leo hii CCM ukiitoa madarakani itabidi kuanzia mzee Mwinyi wawe jela kwa ufisadi na matumizi mabaya ya mali za umma, sasa watakubali kuachia dola?
 
Fikra hasi kama hizi kwa Mwaafrika ndizo zinazozo wachanganya watu kufikiria hatushehimiani...

Afrika hakuna shida za kuheshimiana, shida ipo kwa wazungu kutokuheshimu mifumo na michakato ya Uchaguzi za Waafrika.

Waafrika kwa sasa hawadanganyiki sana kivile.

Waambie waache kutuingilia katika chaguzi zetu.
NEC inasimamiwa na wazungu?
 
Kwenye Chaguzi zao wanaheshimiana ndio maana mizengwe mizengwe inakuwa haipo na kama ikitokea kidogo kama ilivyotokea enzi za Rais Trump inaonekana ni jambo la ajabu sana na linakemewa mpaka leo hii !!
Kwa sababu wao wanaamini siasa sio Uadui !! 🙏🙏
Wao taifa kwanza siasa ni baadae
 
Kuna ujinga mwingi tu huko uzunguni tatizo mnalishwa matango pori na western Media....walichojaaliwa wao hawasemani vibaya ...au umesahau kuwa Trump alilalamikia wizi wa kura
Lakini hakutumia polisi kubaki madarakani aliondoka, huku mwizi wa nje nje, kwanini tusiweke mifumo tupige kura kwa mifumo?
 
Marekani hata hakuna tume ya uchaguzi, Serikali za majimbo ndizo zinasimamia mchakato mzima wa kupiga na kuhesabu kura laki hakuna Katibu wa jimbo awe Republican au Democrat anayeiba kura za wapinzani wake. Ila voter suppression kwa sehemu inawalenga watu weusi!

Uingereza hakuna tume ya uchaguzi ya kusimamia upigaji na kuhesabu kura, hii kazi yote inafanywa na serikali za mitaa. Tume yao ya uchaguzi ni kwa ajili ya kuhakikisha mchakato na sheria za uchaguzi tu zimezingatiwa. Uchaguzi wao pia haujawahi kuwa na shida, hakuna wizi wa kura.

Ufaransa kura zinahesabiwa na watu wa kujitolea kisha serikali za mtaa zinathibitisha na kutangaza matokeo, kama huwezi kwenda kituoni kupiga kura unaweza kumtuma mtu akupelekee kura yako polisi. Uchaguzi wao hauna shida pia.

Makaburu wa Africa Kusini wakati wanawazuia watu weusi kupiga kura wao wenyewe walikuwa wanaheshimu uchaguzi wao na hawabiani kura!

Sisi Waafrika lazima tuna shida mahali, tuna sheria na miongozo chungu nzima ya uchaguzi ila chaguzi zetu zina matatizo makubwa na mara zote hakuna anayekubali kushindwa na wengine wanaishia katika kukataa uchaguzi, kufungua kesi, maandamano au kupigana vita za kuuana kabisa!
wazungu gani?- Hilary hajwahi kukubali kuwa Trump alishinda uchaguzi? Jipange upya na uje ukijua Mungu hajawahi umba mzungu wala mwafrika , Mungu aliiumba binadamu kiumbe mshezi kuliko kiumbe yoyote
 
Back
Top Bottom