toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Serikali za nchi nyingine unazizungumziaje mkuu? Ilikua ni halali kwa nchi nyingine kupata maambukizi?
Unazungumza kanakwamba serikali yetu ya imezembea MNO.
Huu si muda wa kulaumiana. Endelea kusambaza elimu kwenye jamii tuzidi kujikinga.
- Satan -
Yes imezembea sana kuna nchi walizochukua tahadhali mapema wako na case chache na wamefanikiwa kucontrol
Sent from my iPhone using JamiiForums