toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Serikali za nchi nyingine unazizungumziaje mkuu? Ilikua ni halali kwa nchi nyingine kupata maambukizi?
Unazungumza kanakwamba serikali yetu ya imezembea MNO.
Huu si muda wa kulaumiana. Endelea kusambaza elimu kwenye jamii tuzidi kujikinga.
- Satan -
Vipi umeambukizwa corona na familia yako? Na utakoma kama unasubiri serikali ikutangazie lockdown hakuna cha lockdown
Hivi ukiwa chadema lazima uwe msukule?corona ni ugonjwa mdogo tu Kuna magonjwa Kama malaria kansa ukimwi tb ebola yapo kila siku kila mwaka na dunia inasonga haijawahi kusimama! Ndio hapo ujue Kuna tofauti ya binadamu na misukule! Binadamu atachukua tahadhari/Kinga atafuata ushauri/miongozo inayotolewa na wataalam wa afya/serikali misukule itapuuza na kulaumu kulia kulalamika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ivi ukiwa ccm unakuwa mbumbumbu eti ?
mfano Ugonjwa mkubwa kabisa ulofanya dunia nzima ishake major events zifungwe na watu kibao wapoteze maisha mtu anakuja kusema kagonjwa kadogo ka korona ila umekimbia haka kagonjwa umeenda kujificha bush kwenu.
nikwambie kitu mkuu nimekuspot unatetea upumbavu wa watawala na nikwambie ukweli korona ikifika kwenye level ya familia yenu ndio utaelewa nini tulikuwa tunasema, watu wameanza kudondoka na madhara ya ugonjwa yanaonekana, Rais kajificha daaah
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hivi ukiwa chadema lazima uwe msukule?corona ni ugonjwa mdogo tu Kuna magonjwa Kama malaria kansa ukimwi tb ebola yapo kila siku kila mwaka na dunia inasonga haijawahi kusimama! Ndio hapo ujue Kuna tofauti ya binadamu na misukule! Binadamu atachukua tahadhari/Kinga atafuata ushauri/miongozo inayotolewa na wataalam wa afya/serikali misukule itapuuza na kulaumu kulia kulalamika
Wanainchi wanaomchukia ni kikundi Cha wahuni wa ufipa ila mamilioni ya watanzania watakupa jibu kwenye sanduku la kura uchaguzi ujao
Piga kazi msukule [emoji23][emoji1787][emoji2960]Wewr ni mbwa wewe, anaamlishaje watu wafanye kazi wakati yeye na familia yake wamejificha chattle??
Sent using Jamii Forums mobile app