Tatizo la Engine rough idle

Haya tuambie Radiator ya X3 ni shilingi ngapi? Bila kusahau water pump yake..hapo kama hauna 1.7m haupati hivyo vitu...
Nadhani hujanielewa. Nasema kununua X3 ni cheap kuliko kununua Toyota yenye hadhi yake ila spea ni ghali.
 
Nadhani hujanielewa. Nasema kununua X3 ni cheap kuliko kununua Toyota yenye hadhi yake ila spea ni ghali.
Sawa mkuu sasa option bora ni ipi? Kuumia wakati wa kununua au kuumia wakati wa maintenance...?πŸ˜€πŸ˜€
 
Haha mkuu leo namimi nikushauri kitu fundi mtaalam wewe, hilo ni tatizo dogo sana tuliaa


Hey guys chris fix here[emoji23][emoji23][emoji23] hapo safisha throttle body vizuri tu gari imeaccumulate carbs hapo inashindwa kupumua vizuri kwenye low rpms air itake valve inachanyikiwa kubalance hewa kwenda kwenye engine, solution safisha huo mdomo vzuri na tishu/throttle cleaner au hata na wipes utakubali shoo. Chukua desa hapo chini

 
Kuna haka ka kitu embu jaribu kukangalia, jina ndo limenitoka kidogo- ila ni kama valve, kaki-jam kanakuwa na mauzauza kama hayo. Dawa yake ni grease tu

May be kanaweza kuwa sehemu ya tatizo. Ingawa yangu ilikuwa nikiwa kwenye idle ni lazima ni balance accelerator lasivyo inazima.
 

Attachments

  • IMG-20221020-WA0003.jpg
    10 KB · Views: 26
Nashukuru sana mkuu ngoja nitafute hio ya kusafishia
 
Umetupiwa jini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…