Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Nadhani hujanielewa. Nasema kununua X3 ni cheap kuliko kununua Toyota yenye hadhi yake ila spea ni ghali.Haya tuambie Radiator ya X3 ni shilingi ngapi? Bila kusahau water pump yake..hapo kama hauna 1.7m haupati hivyo vitu...