Na Yanga kupitia kiongozi wake Hersi.Kwani mkataba alisaini na nani?
Sisi hatumlazimishi ila mkataba alio usaini yy ndio unao mlazimisha.Yeye amesema hana team inayomtaka, mbna mnalazimisha kitu kisicho kuwepoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha. Wacha we.Sisi hatumlazimishi ila mkataba alio usaini yy ndio unao mlazimisha.
Sasa kwa nini wakati wakuvunja avunje yeye mwenyewe, kama mkataba ulisainiwa na makubalino ya pande mbili,basi hata kuvunjwa utavunjwa kwa makubaliano ya pande mbili.Na Yanga kupitia kiongozi wake Hersi.
Enheee niambie we...Hahahaha. Wacha we.
Mkataba unamlazimisha kuvunja mkataba, na kifungu kipoo, kwann hamtakii??Sisi hatumlazimishi ila mkataba alio usaini yy ndio unao mlazimisha.
Hakuna fani za watu kwenye kitu ambacho kipo open kimetolewa ufafanuzi wa hatua gani inatakiwa kuchukuluwa endapo mazingira fulani yakijitokeza.Brother hizo fani za watu jifunze kuziheshim na ndio maana pale law school wanaanza 800,wanao toboa 26,kama ingekuwa rahisi ufikiliavyo wangetoboa wote 800.
Malamiko ya Yanga nime ya elewa kwamba mchezaji kavunja mkataba bila kufuata sheria na taratibu za mkataba alio ingia.
Hizo taratibu ndo zile za kurudi kambini kumalizia mkataba, kurudi kambini kuboreshewa maslahi na timu inayomtaka ije? Au kuna nyingine?Sasa kwa nini wakati wakuvunja avunje yy mwenyewe, kama mkataba ulisainiwa na makubalino ya pande mbili,basi hata kuvunjwa utavunjwa kwa makubaliano ya pande mbil...
Unazijua taratibu alizokiuka Fei?Enheee niambie we...
Majibu ya Feisal wanazi wa Yanga hawataki kabisa kuyasikia.Utakuta wao wanang'ang'ania kusema arudi Yanga akafuate utaratibu wa kuvunja mkataba kumbe Hersi huku kimya kimya anamfanyia umafia kijana wa watu wa kumzungusha asivunje huo mkataba.Hersi: Nisamehe nilipokosea, Rudi kambini tunakuhitaji, Tutaboresha malsahi, m30 kwa mwezi.
Fei: Sawa nimekusamehe ila siwezi kufanya kazi na wewe tena, naomba niruhusu...
Ujue kwenye sheria kuna kusoma sheria,kuijua sheria na kutafsiri sheria.Unaweza ukawa unaisoma sheria kumbe hujui kuitafsiri inatumika wapi na sehemu gani kwa wakati gani na ndio maana kwa mwaka huu Lawa school walio tobo ni 26 ktk 800.Hakuna fani za watu kwenye kitu ambacho kipo open kimetolewa ufafanuzi wa hatua gani inatakiwa kuchukuluwa endapo mazingira fulani yakijitokeza...
Inamaana wanasheria wa TFF hawajakiona ndio ukione ww?Mkataba unamlazimisha kuvunja mkataba, na kifungu kipoo, kwann hamtakii??
Halafu inaonekana Mashabiki wengi hawawezi kutofautisha tabia za kiongozi na tabia za Club. Wao kiongozi ndo club yenyewe.Majibu ya Feisal wanazi wa Yanga hawataki kabisa kuyasikia.Utakuta wao wanang'ang'ania kusema arudi Yanga akafuate utaratibu wa kuvunja mkataba kumbe Hersi huku kimya kimya anamfanyia umafia kijana wa watu wa kumzungusha asivunje huo mkataba.
Hebu kasikilize tena intv ya Hersi kwenye YouTube channel ya Clouds.Unazijua taratibu alizokiuka Fei?
Usiseme kukaa mezani, amesema wamekaa na option akapewa nne.
1. Arudi aboreshewe maslahi.
2. Arudi amalizie mkataba.
3.Timu inayomtaka ije.
4. Aende CAS.
Hizo mbili za juu mchezaji hayupo tayari, hiyo ya tatu mchezaji hana timu. Kalazimika kwenda na hiyo ya 4.
Sasa wewe unang'ang'ana na afate taratibu, ni zipi tofauti na hizo?
Na ndicho kinachoendelea kwa sasa,kwao Hersi ni kama Almighty wao,hakosei kabisa na hawataki hata kusikia kuwa kakosea.Halafu inaonekana Mashabiki wengi hawawezi kutofautisha tabia za kiongozi na tabia za Club. Wao kiongozi ndo club yenyewe.
Yaah ndizo zilizo kwenye mkataba.Hizo taratibu ndo zile za kurudi kambini kumalizia mkataba, kurudi kambini kuboreshewa maslahi na timu inayomtaka ije? Au kuna nyingine?
Unajificha sababu hujui ni taratibu zipi nje ya zile bosi wako Hersi alizosema. Unanirudishia interview ambayo nimeitumia kukuuliza maswali.Hebu kasikilize tena intv ya Hersi kwenye YouTube channel ya Clouds.
View attachment 2643326
Hiyo ya nne ni yy mwenyewe na kamati yake na hajakatazwa sababu anatafuta haki yake.
Taratibu za kufuata ni za kwenye mkataba simple.
Kwa hiyo mkataba wake hauna exit room ya mchezaji kuondoka mwenyewe bila kutakwa na timu? Yaani mchezaji akitaka kuondoka option ni tatu tu, Kumalizia mkataba, kuboreshewa maslahi au timu inayomtaka ije? Ndivyo mkataba unavyotaka?Yaah ndizo zilizo kwenye mkataba.
Au kama vp tuondoe mikataba maana kwa mtizamo wako haina maana au wewe unaonaje?