Tatizo la Feisal liko wapi?

Tatizo la Feisal liko wapi?

Yeye amesema hana team inayomtaka, mbna mnalazimisha kitu kisicho kuwepoo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na Yanga kupitia kiongozi wake Hersi.
Sasa kwa nini wakati wakuvunja avunje yeye mwenyewe, kama mkataba ulisainiwa na makubalino ya pande mbili,basi hata kuvunjwa utavunjwa kwa makubaliano ya pande mbili.

Halafu hamna mkataba ambao hauvunjiki,ila lazima taratibu, sheria na pande mbili zikubaliane na ndipo uvunjwe, hata Mbape yule mchezaji mwenye thamani , kwa sasa kama akitokea mtu akafuata taratibu, sheria na akakubaliana na PSG timu inayo mmiliki mkataba unavunjwa hata kesho.
 
Brother hizo fani za watu jifunze kuziheshim na ndio maana pale law school wanaanza 800,wanao toboa 26,kama ingekuwa rahisi ufikiliavyo wangetoboa wote 800.

Malamiko ya Yanga nime ya elewa kwamba mchezaji kavunja mkataba bila kufuata sheria na taratibu za mkataba alio ingia.
Hakuna fani za watu kwenye kitu ambacho kipo open kimetolewa ufafanuzi wa hatua gani inatakiwa kuchukuluwa endapo mazingira fulani yakijitokeza.

Mtu akibaka mtoto wa miaka mitatu, utasema huoni hatia ya huyo mtu kwasababu wewe sio mjuzi wa sheria?

FIFA imetoa ufafanuzi wa adhabu ambayo mchezaji anapaswa apewe endapo itatokea mkataba umevunjwa bila kufuata utaratibu

FIFA haijasema mkataba ukivunjwa kwa njia isiyo ya halali mchezaji anapaswa kuendelea kubaki kwenye hiyo Club

FIFA imesema jaribio lolote la kuvunja mkataba iwe kwa kufuata utaratibu au kwa kutofuata utaratibu, mchezaji hawezi kuendelea kuwa mwajiriwa wa hiyo Club kwasababu mkataba wake utahesabika kuwa umevunjika

Hayo yote wewe uliyajua?
 
Sasa kwa nini wakati wakuvunja avunje yy mwenyewe, kama mkataba ulisainiwa na makubalino ya pande mbili,basi hata kuvunjwa utavunjwa kwa makubaliano ya pande mbil...
Hizo taratibu ndo zile za kurudi kambini kumalizia mkataba, kurudi kambini kuboreshewa maslahi na timu inayomtaka ije? Au kuna nyingine?
 
Enheee niambie we...
Unazijua taratibu alizokiuka Fei?

Usiseme kukaa mezani, amesema wamekaa na option akapewa nne.

1. Arudi aboreshewe maslahi.
2. Arudi amalizie mkataba.
3.Timu inayomtaka ije.
4. Aende CAS.

Hizo mbili za juu mchezaji hayupo tayari, hiyo ya tatu mchezaji hana timu. Kalazimika kwenda na hiyo ya 4.

Sasa wewe unang'ang'ana na afate taratibu, ni zipi tofauti na hizo?
 
Hersi: Nisamehe nilipokosea, Rudi kambini tunakuhitaji, Tutaboresha malsahi, m30 kwa mwezi.

Fei: Sawa nimekusamehe ila siwezi kufanya kazi na wewe tena, naomba niruhusu...
Majibu ya Feisal wanazi wa Yanga hawataki kabisa kuyasikia.Utakuta wao wanang'ang'ania kusema arudi Yanga akafuate utaratibu wa kuvunja mkataba kumbe Hersi huku kimya kimya anamfanyia umafia kijana wa watu wa kumzungusha asivunje huo mkataba.
 
Hakuna fani za watu kwenye kitu ambacho kipo open kimetolewa ufafanuzi wa hatua gani inatakiwa kuchukuluwa endapo mazingira fulani yakijitokeza...
Ujue kwenye sheria kuna kusoma sheria,kuijua sheria na kutafsiri sheria.Unaweza ukawa unaisoma sheria kumbe hujui kuitafsiri inatumika wapi na sehemu gani kwa wakati gani na ndio maana kwa mwaka huu Lawa school walio tobo ni 26 ktk 800.

Hivi hayo unayo ya zungumza ww unazani wanasheria wa Fei hawa yajui uliyo yaandika, why mpaka sasa wamebwaga mara tatu?

Hata ww mwenyewe hujui sheria, wanao ijua ni wale wanao simama mbele ya pilato,sababu ndio wanao itafsiri hapa tunauziana cha.

Halafu TFF sio mwisho kuna chombo kimewekwa na FIFA, CAS wanaweza kwenda kupata haki yao.
 
Majibu ya Feisal wanazi wa Yanga hawataki kabisa kuyasikia.Utakuta wao wanang'ang'ania kusema arudi Yanga akafuate utaratibu wa kuvunja mkataba kumbe Hersi huku kimya kimya anamfanyia umafia kijana wa watu wa kumzungusha asivunje huo mkataba.
Halafu inaonekana Mashabiki wengi hawawezi kutofautisha tabia za kiongozi na tabia za Club. Wao kiongozi ndo club yenyewe.
 
Unazijua taratibu alizokiuka Fei?

Usiseme kukaa mezani, amesema wamekaa na option akapewa nne.

1. Arudi aboreshewe maslahi.
2. Arudi amalizie mkataba.
3.Timu inayomtaka ije.
4. Aende CAS.

Hizo mbili za juu mchezaji hayupo tayari, hiyo ya tatu mchezaji hana timu. Kalazimika kwenda na hiyo ya 4.

Sasa wewe unang'ang'ana na afate taratibu, ni zipi tofauti na hizo?
Hebu kasikilize tena intv ya Hersi kwenye YouTube channel ya Clouds.
Screenshot_20230602_105517_Instagram.jpg

Hiyo ya nne ni yy mwenyewe na kamati yake na hajakatazwa sababu anatafuta haki yake.

Taratibu za kufuata ni za kwenye mkataba simple.
 
Halafu inaonekana Mashabiki wengi hawawezi kutofautisha tabia za kiongozi na tabia za Club. Wao kiongozi ndo club yenyewe.
Na ndicho kinachoendelea kwa sasa,kwao Hersi ni kama Almighty wao,hakosei kabisa na hawataki hata kusikia kuwa kakosea.
 
Hizo taratibu ndo zile za kurudi kambini kumalizia mkataba, kurudi kambini kuboreshewa maslahi na timu inayomtaka ije? Au kuna nyingine?
Yaah ndizo zilizo kwenye mkataba.

Au kama vp tuondoe mikataba mchezo wa mpira maana kwa mtizamo wako haina maana au wewe unaonaje?

Mchezaji aje tu,afanye anavyo jisikia, hela tutamkadilia kila mechi, maana kwako mkataba hauna maana.
 
Hebu kasikilize tena intv ya Hersi kwenye YouTube channel ya Clouds.
View attachment 2643326

Hiyo ya nne ni yy mwenyewe na kamati yake na hajakatazwa sababu anatafuta haki yake.

Taratibu za kufuata ni za kwenye mkataba simple.
Unajificha sababu hujui ni taratibu zipi nje ya zile bosi wako Hersi alizosema. Unanirudishia interview ambayo nimeitumia kukuuliza maswali.

INSHORT HUJUI NI NINI FEI ANATAKIWA KUFANYA NJE YA ALIYOELEKEZWA NA HERSI.
 
Yaah ndizo zilizo kwenye mkataba.

Au kama vp tuondoe mikataba maana kwa mtizamo wako haina maana au wewe unaonaje?
Kwa hiyo mkataba wake hauna exit room ya mchezaji kuondoka mwenyewe bila kutakwa na timu? Yaani mchezaji akitaka kuondoka option ni tatu tu, Kumalizia mkataba, kuboreshewa maslahi au timu inayomtaka ije? Ndivyo mkataba unavyotaka?
 
Back
Top Bottom