joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Daaah kaka yaani unazidi kutoa boko, kama kitu hujui bora kunyamaza tu.Yaani Yanga ashinde bado akate rufaa aende CAS duuh hii kali.Kwani si hata kesi ya Morrison yanga walishinda TFF walipoenda CAS nani aliibuka mshindi?
We unamuamini kidau na karia.
Lini ? Hivi intvw ya jana umesikia au na ww unakuwa mtu wa kusimuliwa.Ndio
Anaenda CAS ili awe huru na hata kama ameshindwa kesi basi yupo tayari kulipa fidia.Kwahiyo anaenda CAS kuwashitaki TFF au Yanga? Au anaenda CAS kuwaomba wamsaidie kuvunja mkataba wake na Yanga mkataba ambao hautumikii mpaka leo? Natafakari nakuta maswali ni mengi kuliko majibu.
Haya. Nasimuliwa. Hajaenda.Lini ? Hivi intvw ya jana umesikia au na ww unakuwa mtu wa kusimuliwa.
Point yangu ni kwamba TFF hakuna haki ndio maana sio maamuzi ya kuyaamini ila unajitoa ufahamu TFF hawawezi wakasema simba au yanga ina makosa kwenye upande wa wachezaji kwani wachezaji wengi walishawahi kwenda TFF kudai haki akiwemo Kelvin yondani ila waliambulia patupu ndio maana naamini CAS ndio kwenye maamuzi sahihi ila sio TFF kama nyinyi yanga mlivyobebwa kwenye sakata la TFF dhidi ya hasani kesi simba ikaamua bora yaishe kiume sasa nyinyi mnashindwa nini kumaliza hili swala kiume kama kosa lishafanyika tayari.Daaah kaka yaani unazidi kutoa boko, kama kitu hujui bora kunyamaza tu.Yaani Yanga ashinde bado akate rufaa aende CAS duuh hii kali.
Sawa mbona kwa Morrison tulishindwa na kamati iliyo simamia kesi ya Morrison ndio hii ya inayo simamia kesi ya Fei.Point yangu ni kwamba TFF hakuna haki ndio maana sio maamuzi ya kuyaamini ila unajitoa ufahamu TFF hawawezi wakasema simba au yanga ina makosa kwenye upande wa wachezaji kwani wachezaji wengi walishawahi kwenda TFF kudai haki akiwemo Kelvin yondani ila waliambulia patupu ndio maana naamini CAS ndio kwenye maamuzi sahihi ila sio TFF kama nyinyi yanga mlivyobebwa kwenye sakata la TFF dhidi ya hasani kesi simba ikaamua bora yaishe kiume sasa nyinyi mnashindwa nini kumaliza hili swala kiume kama kosa lishafanyika tayari.
Una hakika kuwa mkataba ulivunjwa instagram?
Maana sisi tunajua ilitumwa barua kwa email ikifuatiwa na kurejeshwa kwa 112M
Mkataba ukivunjwa kihuni sheria inasemaje?
Sheria inasema mkataba ukivunjwa kihuni mchezaji aendelee kubaki kwenye Club?
Sheria inasema mkataba ukivunjwa kihuni, mkataba unakuwa hujavunjika?
Unaelewa kuvunja mkataba bila kuwa na sababu nayo ni sheria ambayo inatambulika?Ehee si ndiyo Uhuni wenyewe huo? Mkataba hauvunjwi online(email/facebook/instagram).
Kwanza mna discuss mnafikia muhafaka then ndiyo email inafuata kwa "As Discussed over the Phone or As per our conversation/discussion" ,huyo AMIJEI amekurupuka from nowhere anatuma 112m na yanga wameirudisha kwasababu hawajui hizo 112m za nini na hiyo email ndiyo ikawazindua kwamba kumbe ni kuvunja mkataba.
Unaelewa kuvunja mkataba bila kuwa na sababu nayo ni sheria ambayo inatambulika?
Unaelewa sio lazima mfanye mutual agreement ndio mkataba uvunjwe?
Wanaenda CAS kupinga hukumu iliyotolewa na TFF naona Yanga mnawasiwasi mnahisi nyie ndio mnapelekwa CASMimi siyo mwanasheria mkuu ila TFF washalimaliza hilo na wameshampa majibu fei na bushlawyers wake.
Waende CAS tuone watakavyodondokea Pua.
Mkuu hyo jamaa anajiona professor kabudi maana yeye anavyoelezea ni kama tayari yanga wameshinda kesi wakati kwenye kesi mtu yoyote anaweza shinda lakini jamaa kashatoa hukumu wakati wala hajui kwenye mkataba kuna vipengele ganiUna hakika kuwa mkataba ulivunjwa instagram?
Maana sisi tunajua ilitumwa barua kwa email ikifuatiwa na kurejeshwa kwa 112M
Mkataba ukivunjwa kihuni sheria inasemaje?
Sheria inasema mkataba ukivunjwa kihuni mchezaji aendelee kubaki kwenye Club?
Sheria inasema mkataba ukivunjwa kihuni, mkataba unakuwa hujavunjika?
Unamuita jasmine razak bushlawyer wakati ni mwanasheria Anayeaminika Africa ameshinda kesi ya msuva alimsimamia Emanuel ebou ila alikwama kwasababu alikosa running cost ikawa ebou analala kwa jasmine Leo unamuita kilaza mbele ya Simon Patrick mwanasheria wa hovyo kuwahi kutokea Tanzania.Mimi siyo mwanasheria mkuu ila TFF washalimaliza hilo na wameshampa majibu fei na bushlawyers wake.
Waende CAS tuone watakavyodondokea Pua.
Kesi ya Feisal na Msuva zina fanana?Unamuita jasmine razak bushlawyer wakati ni mwanasheria Anayeaminika Africa ameshinda kesi ya msuva alimsimamia Emanuel ebou ila alikwama kwasababu alikosa running cost ikawa ebou analala kwa jasmine Leo unamuita kilaza mbele ya Simon Patrick mwanasheria wa hovyo kuwahi kutokea Tanzania.
We ndio huelewi kwani si alishaomba kuvunja yanga na tff hawataki,Kuna watu ni wazito sana kuelewa slow learners, ni kupoteza muda kumjibu mtu kama huyu.
Kifupi Fei aende ofisi za Yanga akavunje mkataba wake.
Ujinga upi mama wa kutokujua kiinglish auTatizo lake ujinga.
Ona ulikokimbilia sasa😀😀Kesi ya Feisal na Msuva zina fanana?
Haiui kitu huyo mkuu 😀.Shida sio kufanana shida ni uelewa wa mwanasheria