Sabi Sanda
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 409
- 31
Wakuu,
Foleni Dar es Salaam ilikuwa inasababishwa na askari wa Usalama Barabarani. Toka juzi tarehe 14/05/2013, natumaini wengi mtakuwa mmeona mabadiliko makubwa kuhusu uwepo wa askari wa usalama barabarani katika njia tofauti hapa jijini Dar es Salaam. Natumaini mkakati huu utaendelea kutumika na kuheshimiwa na TAA ZA BARABARANI KUWACHWA ZIFANYE KAZI YAKE.
sio kweli,
askari wana msaada sana tena sana.
Kama unakumbuka miaka ya nyuma sikukumbuki lini kakini nadhani ni mid-2000s watu walilalamika hivi hivi, kwamba foleni inasababishwa na askari barabarani, then kwa kuitikia mwito huu askari waliondolewa barabrano na kuachia taa ziongoze mgari. Kilichotokea ni chaos na disaster, watu wenyewe waliomba askari warudi especially during peak hours.
Sasa hii ya kwako leo napingana nayo coz majuzi, jana na leo kwa nia ninayopitaga kuna skrai full karibu katika kila junction na kwenye taa.
Kwa hiyo nadhani huu wako ni uzushi otherwise show the source au authenticity ya taarifa yako hii
Unajua wewe ni JF member toka 2006, yaani ni mzoefu wa Jukwaa sasa unapopost huna buni kuonyesha uzoefu kidoggo ulionao; wengine hatuko dar lakini tuna interest zetu dar hivyo lazima tufuatilie kila tukio. Ni nini kimetokea, ni mabadiliko makubwa ya namna gani yaliyotokea? kama ni mkakati kwa nini usiuelezee mkakati wenyewe tukaujua kama una nia ya ku-share ulichonacho
Hahahahahaha!
Foleni Dar iishe?thubutu yako!
Ukitoka huku kwetu Ukonga saa12 asbh unafika k,koo saa1.30-2.00 asbh.
Na kwa jinsi walivyofunga mitaa ya barabarani kuanzia njia panda segerea,airport,jet,vingunguti,tazara,chang'ombe basi tabu tupu.
Sidhani kama wanapokea rushwa.Tatizo ni misafara isiyopungua ya wenye nchi, vigogo na vibosilehatukatai kuwa polisi wanasaidia kuondoa msongamano wa magari lakini in most case wao huwa wanasababisha msongamano wa magari especially unafika mataa unashinda hapo lisaa limoja bado hamruhusiwi na magari yanavutwa upande aliopokea rushwa yeye tu. hivi waliogundua yale mataa ya kuongozea magari ni wajinga? polisi wawepo mataa kusimamia tu kuwa magari yanavuka ipasavyo co yeye kujichukulia majukumu ya taa. hebu ona kinachiendelea jijini sa hivi polisi barabarani kibao hiyo foleni sasa duu.
sio kweli,
askari wana msaada sana tena sana.
Kama unakumbuka miaka ya nyuma sikukumbuki lini kakini nadhani ni mid-2000s watu walilalamika hivi hivi, kwamba foleni inasababishwa na askari barabarani, then kwa kuitikia mwito huu askari waliondolewa barabrano na kuachia taa ziongoze mgari. Kilichotokea ni chaos na disaster, watu wenyewe waliomba askari warudi especially during peak hours.
Sasa hii ya kwako leo napingana nayo coz majuzi, jana na leo kwa nia ninayopitaga kuna skrai full karibu katika kila junction na kwenye taa.
Kwa hiyo nadhani huu wako ni uzushi otherwise show the source au authenticity ya taarifa yako hii
Foleni huku morogoro road imezidi sana.
mama nakufanyia mchakato ukaishi magogoni au unaonaje
mkulima na magogoni kuna uhusiano gani son.