Tatizo la Foleni Dar es Salaam LAISHA

Tatizo la Foleni Dar es Salaam LAISHA

askari wa ccm hawasaidii chochote ndo wanaongoza foleni rushwa nje nje
 
Mkuu unakaa dar ya wapi? Usikute unazungumzia dar ya magubike au ya nanjilinji...KAMA DAR YA DIZIM basi utakuwa umetumwa na magufuli kuja kumpromote JF,mwambie awe anakulipa vizuri co buku7 kama kina nape na mwigulu wanavyowalipa kina chama.
 
nani akale makombo
wamekula weeeee
then mimi niende sitaki
kwanza ameshaninyima hata ukuu wa wilaya
na mimi pia simtaki asilani.

anataka yule anae hitaji kupulizwa na upepo wa samaki wa feli... mama hutaki kula lunch na mkweeelee
 
Duh! huu mwaka wake
Binadamu pendaneni.
Ukuu wa wilaya?
ujue kuna nafasi yako, tena
ubalozi wa nchi flani unakuhusu...

nani akale makombo
wamekula weeeee
then mimi niende sitaki
kwanza ameshaninyima hata ukuu wa wilaya
na mimi pia simtaki asilani.
 
Back
Top Bottom