Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
mkulima na magogoni kuna uhusiano gani son.
magogoni ni mali ya wananchi... kila raia wa tanzania ana haki napo.
jaribu uone
ndo useme kwa kujiamini kama hivi.
by the way mzima lakini???
Pale naingiaga nitakavyo.
mie mzima.
na hata leo naratiba ya kwenda pale
nani asikujua kuwa na wewe ni wale wale
una majina kibao humu
au unataka niseme.
ah ah ah! nichunie mama yangu... utaharibu hali ya hewa bureee
upeleke majina yetu uone kasheshe lake
ah ah ah! hata mie najiita wa hapa hapa ngoja nitamuomba awafikirie na nyie mkapate upepo wa baharini kidogo
kwani ni nani anataka.
anataka yule anae hitaji kupulizwa na upepo wa samaki wa feli... mama hutaki kula lunch na mkweeelee
nani akale makombo
wamekula weeeee
then mimi niende sitaki
kwanza ameshaninyima hata ukuu wa wilaya
na mimi pia simtaki asilani.