Mshasha wane
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 234
- 633
mkuu umeshindwa kweli kusema hata gari ni aina gani???
Shida yako ya kwanza ambayo itakutesa sana na kukumalizia hela nyingi sana bila sababu ni kupeleka gari yako kwa mafundi wagonga nyundo wa chini ya miembe.Wewe unapambana kujua shida ya gari yako wakati shida hii ya mafundi wa chini ya miembe huijui,siyo sahihi!Naombeni msaada shida inaweza kuwa nini
Bearing ya 200kWakuu habari napata changamoto, napokuwa speed au mzunguko wa engine unapokuwa 3 na kuendelea gari yangu inakuwa inatoa mlio flani ambao kama kuna kitu kinasuguana. Mara ya kwanza nilienda kwa fundi akaniambia shida ni bering, tukabadilisha bering kwa 200,000 ila juzi nilikuwa njiani kwenda mwanza nikampa jamaa angu aendeshe alivyofika rpm ya 4 nikasikia tena lile tatizo. Naombeni msaada shida inaweza kuwa nini
Mimi kwa kuanza tu. kwa sababu umesema ni Toyota allex. Then hiyo engine ni Vvti.Wakuu habari napata changamoto, napokuwa speed au mzunguko wa engine unapokuwa 3 na kuendelea gari yangu inakuwa inatoa mlio flani ambao kama kuna kitu kinasuguana. Mara ya kwanza nilienda kwa fundi akaniambia shida ni bering, tukabadilisha bering kwa 200,000 ila juzi nilikuwa njiani kwenda mwanza nikampa jamaa angu aendeshe alivyofika rpm ya 4 nikasikia tena lile tatizo. Naombeni msaada shida inaweza kuwa nini
Mimi kwa kuanza tu. kwa sababu umesema ni Toyota allex. Then hiyo engine ni Vvti.
So possible shida ni Vvt solenoid au Knock sensor.
sijajua uko wapi. kama upo Dar nicheck 0621 221 606
Hio bearing ya laki 2 tunaitaga "Boya Kaliwa"Wakuu habari napata changamoto, napokuwa speed au mzunguko wa engine unapokuwa 3 na kuendelea gari yangu inakuwa inatoa mlio flani ambao kama kuna kitu kinasuguana.
Mara ya kwanza nilienda kwa fundi akaniambia shida ni bering, tukabadilisha bering kwa 200,000 ila juzi nilikuwa njiani kwenda mwanza nikampa jamaa angu aendeshe alivyofika rpm ya 4 nikasikia tena lile tatizo.
Naombeni msaada shida inaweza kuwa nini.
Hapo kata mswaki tu haina jinsi engine inayo knock hivyo ipo siku utakuja kushangaa piston zimeng'ang'ania kwenye block na safar inaishia hapo.Wakuu habari napata changamoto, napokuwa speed au mzunguko wa engine unapokuwa 3 na kuendelea gari yangu inakuwa inatoa mlio flani ambao kama kuna kitu kinasuguana.
Mara ya kwanza nilienda kwa fundi akaniambia shida ni bering, tukabadilisha bering kwa 200,000 ila juzi nilikuwa njiani kwenda mwanza nikampa jamaa angu aendeshe alivyofika rpm ya 4 nikasikia tena lile tatizo.
Naombeni msaada shida inaweza kuwa nini.
Beringi nne hugarimu Tsh. Ngapi, maana tunapigwa wangi.Hio bearing ya laki 2 tunaitaga "Boya Kaliwa"
25-30 tuBeringi nne hugarimu Tsh. Ngapi, maana tunapigwa wangi.
Nilipeleka gari kwa tatizo hilo zote nne zilikuafa, Za nyuma moja niliambia Tsh 150,000 kila moja, na za mbele 70,000 kila moja, zile ambazo zimeandikwa japan, ila za kampuni zingine niliambia 40, mbele za nyuma sikuuluza ni belingi za IST.
Basi mimi walinipiga, waliniambia hizi ndiyo Original zinamaamdishi madogo yanajirudia yakisomeka Japan.25-30 tu
Hahahah jamaa wanazingua sana yani, vitu oringinal kuviotea ni kazi. Yani kitu kikiwa na label ya Toyota Japan lazma upigwe tu na vingi ni copy za kichinaBasi mimi walinipiga, waliniambia hizi ndiyo Original zinamaamdishi madogo yanajirudia yakisomeka Japan.
Bearing moja ya Subaru Legacy enzi hizo(mwaka juz) ilikuwa 235k apo Salama bearingHio bearing ya laki 2 tunaitaga "Boya Kaliwa"
Ungeenda Salama bearingBeringi nne hugarimu Tsh. Ngapi, maana tunapigwa wangi.
Nilipeleka gari kwa tatizo hilo zote nne zilikuafa, Za nyuma moja niliambia Tsh 150,000 kila moja, na za mbele 70,000 kila moja, zile ambazo zimeandikwa japan, ila za kampuni zingine niliambia 40, mbele za nyuma sikuuluza ni belingi za IST.
Eeh ndio maana watu wanajazana Toyota πππBearing moja ya Subaru Legacy enzi hizo(mwaka juz) ilikuwa 235k apo Salama bearing
Ila tuvyofika pale kuna mtu pemben alismbiwa ya IST original ni elf30 feki elf10
Alex sijui
Nashukuru, ikitokea tena nitaenda, ila sijui Salama bearing iko wapi.Ungeenda Salama bearing
Mrejesho ni kwamba kuna kitu kilikuwa kimelwgea tu. Fundi alikaza na mlio kwishaMrejesho?