Tatizo la gari kugonga pale mzunguko wa engine unapokuwa 3 na kuendelea

Mshasha wane

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2014
Posts
234
Reaction score
633
Wakuu habari napata changamoto, napokuwa speed au mzunguko wa engine unapokuwa 3 na kuendelea gari yangu inakuwa inatoa mlio flani ambao kama kuna kitu kinasuguana.

Mara ya kwanza nilienda kwa fundi akaniambia shida ni bering, tukabadilisha bering kwa 200,000 ila juzi nilikuwa njiani kwenda mwanza nikampa jamaa angu aendeshe alivyofika rpm ya 4 nikasikia tena lile tatizo.

Naombeni msaada shida inaweza kuwa nini.
 
Naombeni msaada shida inaweza kuwa nini
Shida yako ya kwanza ambayo itakutesa sana na kukumalizia hela nyingi sana bila sababu ni kupeleka gari yako kwa mafundi wagonga nyundo wa chini ya miembe.Wewe unapambana kujua shida ya gari yako wakati shida hii ya mafundi wa chini ya miembe huijui,siyo sahihi!
 
Wakuu habari napata changamoto, napokuwa speed au mzunguko wa engine unapokuwa 3 na kuendelea gari yangu inakuwa inatoa mlio flani ambao kama kuna kitu kinasuguana. Mara ya kwanza nilienda kwa fundi akaniambia shida ni bering, tukabadilisha bering kwa 200,000 ila juzi nilikuwa njiani kwenda mwanza nikampa jamaa angu aendeshe alivyofika rpm ya 4 nikasikia tena lile tatizo. Naombeni msaada shida inaweza kuwa nini
Bearing ya 200k
 
Mimi kwa kuanza tu. kwa sababu umesema ni Toyota allex. Then hiyo engine ni Vvti.

So possible shida ni Vvt solenoid au Knock sensor.

sijajua uko wapi. kama upo Dar nicheck 0621 221 606
 
Wakuu habari napata changamoto, napokuwa speed au mzunguko wa engine unapokuwa 3 na kuendelea gari yangu inakuwa inatoa mlio flani ambao kama kuna kitu kinasuguana.

Mara ya kwanza nilienda kwa fundi akaniambia shida ni bering, tukabadilisha bering kwa 200,000 ila juzi nilikuwa njiani kwenda mwanza nikampa jamaa angu aendeshe alivyofika rpm ya 4 nikasikia tena lile tatizo.

Naombeni msaada shida inaweza kuwa nini.
Hio bearing ya laki 2 tunaitaga "Boya Kaliwa"
 
Hapo kata mswaki tu haina jinsi engine inayo knock hivyo ipo siku utakuja kushangaa piston zimeng'ang'ania kwenye block na safar inaishia hapo.

Kama gari ulinunua mkononi manaake uliveshwa. Kata mswaki uishi kwa amani!
 
Hio bearing ya laki 2 tunaitaga "Boya Kaliwa"
Beringi nne hugarimu Tsh. Ngapi, maana tunapigwa wangi.

Nilipeleka gari kwa tatizo hilo zote nne zilikuafa, Za nyuma moja niliambia Tsh 150,000 kila moja, na za mbele 70,000 kila moja, zile ambazo zimeandikwa japan, ila za kampuni zingine niliambia 40, mbele za nyuma sikuuluza ni belingi za IST.
 
25-30 tu
 
Basi mimi walinipiga, waliniambia hizi ndiyo Original zinamaamdishi madogo yanajirudia yakisomeka Japan.
Hahahah jamaa wanazingua sana yani, vitu oringinal kuviotea ni kazi. Yani kitu kikiwa na label ya Toyota Japan lazma upigwe tu na vingi ni copy za kichina
 
Beringi nne hugarimu Tsh. Ngapi, maana tunapigwa wangi.

Nilipeleka gari kwa tatizo hilo zote nne zilikuafa, Za nyuma moja niliambia Tsh 150,000 kila moja, na za mbele 70,000 kila moja, zile ambazo zimeandikwa japan, ila za kampuni zingine niliambia 40, mbele za nyuma sikuuluza ni belingi za IST.
Ungeenda Salama bearing
 
Back
Top Bottom