Mshasha wane
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 234
- 633
Wakuu habari napata changamoto, napokuwa speed au mzunguko wa engine unapokuwa 3 na kuendelea gari yangu inakuwa inatoa mlio flani ambao kama kuna kitu kinasuguana.
Mara ya kwanza nilienda kwa fundi akaniambia shida ni bering, tukabadilisha bering kwa 200,000 ila juzi nilikuwa njiani kwenda mwanza nikampa jamaa angu aendeshe alivyofika rpm ya 4 nikasikia tena lile tatizo.
Naombeni msaada shida inaweza kuwa nini.