Revolution 22
Member
- Jun 11, 2021
- 63
- 141
Wakuu mambo vp? Poleni na hongeren mnaondelea na mfungo, kwa wenye ufahamu na hlii gari yangu ni toyata IST cc 1290 imekuwa ikiishiwa nguvu na kuchelewq kubadilisha gia hasa nikiwa kwenye muinuko hata wakawaida,lakini pia nikiweka gia ya nyuma bado inakuwq nzito kuchanganya shida inaweza kuwa nn wakuu?