Revolution 22
Member
- Jun 11, 2021
- 63
- 141
Haichomi huenda angalia koili zake na plugs kwanza.Wakuu mambo vp? Poleni na hongeren mnaondelea na mfungo, kwa wenye ufahamu na hlii gari yangu ni toyata IST cc 1290 imekuwa ikiishiwa nguvu na kuchelewq kubadilisha gia hasa nikiwa kwenye muinuko hata wakawaida,lakini pia nikiweka gia ya nyuma bado inakuwq nzito kuchanganya shida inaweza kuwa nn wakuu?
Nimebadilisha plug juz tu mkuu ikatulia kama cku mbili tatzo limerud tenaHaichomi huenda angalia koili zake na plugs kwanza.
Overhaul ya Toyota ist yenye engine ya 2nz inaweza kuwa bei gan mkuuNi gari gani?
Angalia:
1. Plugs.
2. Mfumo wa Hewa.
3. Horse Kama zimepasuka.
4. Issue za umeme!
5. Gear zinabadilika
Kama zote hapo juu zipo sawa:
Rudi kwenye engine, Km zake, Mara nyingi ni Mwanzo wa kuelekea kufanya overhaul ya gari!
Overhaul ya Toyota ist yenye engine ya 2nz inaweza kuwa bei gan mkuu
Comment yako hii, #8, inaipinga comment yako #7Nicheki huyu Jamaa yupo Dampo Tabata:
0755 399 613.
Anaitwa John, huyu jamaa ni mwaminifu sana
Au huyu:
Shukran mkuu ngoja nilifanyie kazi hiliKama ni IST ni rahisi sana, mi nilifikiri ni haya magari yetu utata! Overhaul ni kama laki 9, ila sio kwa mafundi wa Dar aisee!
Kama unaishi Dar mji busy, mafundi wote wa magari ni wezi hawaaminiki.
Jaribu sana kutafuta fundi anayeaminika aliangalia, muhimu sana, yaweza Kuwa jambo dogo!
Ngoja nimtafute aiseNicheki huyu Jamaa yupo Dampo Tabata:
0755 399 613.
Anaitwa John, huyu jamaa ni mwaminifu sana
Au huyu:
Ngoja nimtafute aise